MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Aisee kumbe tuna watu wenye akili sana nchi hii ila hatuwatumii vizuri, angalia mzee alivyochambua na kujenga hoja kwa watu wenye uelewa mzuri watachukua ushauri huu
granted. lakini huyo Kikwete wenu alitengeneza mazingira ya kuonekana tunafanikiwa kiuchumi kwa kuvuta hii mikwanja ya (aka kuhongwa na) wazungu. which was never going to be sustainable.Tutakukumbuka Kikwete daima.
Yaani daktari aliyeshindwa kumpima mgonjwa na kujua ugonjwa aendelee kukumbukwa na kuheshimiwa dhidi ya daktari aliyethubutu kumpima mgonjwa, kupata majibu, kumweleza ukweli na kumpangia dozi ya kumponya!Kikwete tutakukumbuka daima.
Kikwete tutakukumbuka daima.
Alichoandika Muufuruki ndio msimamo wa MCC.
Katiba ya muungano hairuhusu Tanzania bara au raisi wa muungano kuingilia uchaguzi wa Zanzibar sababu uchaguzi wa Zanzibar si jambo la muungano.Hata sheria ya uchaguzi ya Zanzibar hairuhusu hilo.Hao MCC na akina mufuruki wanataka serikali ya muungano iingilie kati wakati wakijua kuwa kufanya hivyo ni kuvunja katiba ya nchi.Raisi hawezi vunja katiba na sheria ya uchaguzi zanzibar ili kuwafurahisha akina MCC na vibaraka wao.
unapotengeneza mabilionea wengi hiyo ndo maendeleo,hao mabilionea watainvest katika viwanda,kilimo etc na wataajiri malaki kama si mamilion.Kwanza unajua matajiri wengi utajiri wao umekuwa na kufumuka kipindi cha 2005-2015
nimejiuliza sana hili swali
nikasikia mpaka juzi juzi kuna mtu kawa na net worth ya 800 usd
ilhali mtanzania wa kipato cha chini anazidi kuhudumia
something was wrong somewhere
Alichoandika Muufuruki ndio msimamo wa MCC.
Katiba ya muungano hairuhusu Tanzania bara au raisi wa muungano kuingilia uchaguzi wa Zanzibar sababu uchaguzi wa Zanzibar si jambo la muungano.Hata sheria ya uchaguzi ya Zanzibar hairuhusu hilo.Hao MCC na akina mufuruki wanataka serikali ya muungano iingilie kati wakati wakijua kuwa kufanya hivyo ni kuvunja katiba ya nchi.Raisi hawezi vunja katiba na sheria ya uchaguzi zanzibar ili kuwafurahisha akina MCC na vibaraka wao.
Duh! umeandika kwa uelewa wako au kwa shinikizo? aisee, tunasafari ndefu!Mufuruki anaongea kama kibaraka wa MCC.
CUF walishiriki uchaguzi wa marudio na wakapata kura chache.CCM ikashinda.Utaongeaje na mtu aliyeshindwa sanduku la kura?
CUF walishindwa kwenye uchaguzi wa matokeo yaliyotangazwa na tume YA UCHAGUZI.
Mkuu umenena vyema kabisa,wengi watakaomponda Mafuruki ni wale ambao ni wafata mkumbo.Tukae tutafakari kwa kina suala hili.Isije ikatukuta kama yaliyotukuta wakati ule wakina Margareth Thatcher na beberu mwenzie Ronald Reagan walivyotufanyia kipindi kile cha vita baridi.Well said Mr Mufuruki. Isomeni vizuri hii article na muielewe...anaemuita Mufuruki kibaraka namshangaa labda kusoma hawezi...kasema hapo karibu na ukingoni marekani ina agenda zake....lakini haiizuii Tanzania kutokuwa na zake....
Nimekumbuka scenario ya Zimbabwe...walidhani wakipora mashamba ya wazungu watafankkiwa kiendelea kuuza maua uholanzi...wakakuta maua yanakataliwa sokoni....sembe zinakataliwa...unaposema nitaongeza kuchimba dhahabu ujue pia ni nani atanunua..nina uranium...bwana baradei wa shirika la nguvu za atomiki atakuja kuban ufukuaji huo....waulizeni iran wenyewe wamenyoosha maelezo sembuse tanzania....tutakuza utalii...watazuia raia zao wasije kutalii kwa kampeni tofauti........ its a complex world...the world is also competing for opportunities....ukisusa wenzio wala...jamani wazimbabwe wanateseka jamani sijui kama mnajua hilo..
Namshukuru raisi wangu tumeona anacontrol vema.bei za mafuta na hata leo wameshusha umeme...lakini naomba pia amsikilize Mzee Mufuruki..Mzee Mufuruki ana akili sana...personally huwa namkubali...huyu pia aliongelea changamoto.za.ma CEO wenye mishahara mikubwa...aliongelea.vitu vizito sana...
Swala la mambo ya uchaguzi wa Zanzibar si maswala yanayomhusu magufuli wala kikwete yanawahusu wanzanzibari wenyewe acheni kuchomekea watu wasio husika.
kabla ya kuchomekea mngesoma kwanza katiba ya muungano,katiba ya zanzibar na sheria ya uchaguzi ya zanzibar.Msije kilevi levi kama wale wa MCC HAWAJALI KATIBA WALA SHERIA WANALAZIMISHA TU MAMBO!!!
unapotengeneza mabilionea wengi hiyo ndo maendeleo,hao mabilionea watainvest katika viwanda,kilimo etc na wataajiri malaki kama si mamilion.
Nchi kama marekani ,china etc zinajisifia kuzalisha mabilionea wengi,
mambo ya ukominist yalishapita
Ila inamuruhusu amri jeshi mkuu kupeleka majeshi yake kusimamia uchaguzi wa Zanzibar
uozo upi?Magufuli ana kazi na uozo wa mtangulizi wake!
Japo hua natofautiana nawe katika mambo mengi ila kwa hili nakubaliana nawe 100%.Kikwete alikua vizuri sana hasa katika mambo ya mahusiano ya kimataifa.Kikwete tutakukumbuka daima.