Vengu yuko wapi na anaendeleaje?

Vengu yuko wapi na anaendeleaje?

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
Wanajamvi mimi naomba kujua alipo Vengu wa original comed maana tangu tulipoambiwa anaumwa kimya, si vyombo vya habari wala comedi wenyewe kulikoni?
 
Nilikua nampenda huyu kijana hasa akipozi kama msichana. Hebu kama upo jitokeze siku moja tukuone watu wengi wana hamu ya kukuona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom