Nipo mkuu!
Dah mpaka sasa niko njia panda! Alikusudia vengu yupi?
Dah mpaka sasa niko njia panda! Alikusudia vengu yupi?
soma heading
Wanajamvi mimi naomba kujua alipo Vengu wa original comed maana tangu tulipoambiwa anaumwa kimya, si vyombo vya habari wala comedi wenyewe kulikoni?