nimekua nikisoma na kufurahia na kujifunza mengi toka kwenu wana jf..kawaida mi ni mvivu sana kujiunga na mitandao ya jamii ila nyie mmenishawishi,big up n pamoja tulisongeshe...lunch njema hasa kwa wale wanaoibia maboc wao kwa kutumia two hrz lunch...