[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa kameza watangazaji wenzake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]itakuwa kameza watangazaji wenzake
AiseeKafanana na hawa kasoro rangi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1224650
HaaaaaaaaHuu uzi unatupa adhabu kwelikweli, kila ukisoma comment lazima urejee kwenye picha ya huyo mwana anga kuthibitisha kinachosemwa.
Na hapo usikute wakati anaingia ofisini kwao wenzie shoga umependeza ukitoka hewani lazima utafutwe mapigo hayo umeyapata wapi?, kumbe upande wa pili mapokeo tofauti.View attachment 1224501
Wakuu Mnaonaje hili Vazi alilovaa Mtangazaji wa TBC leo lifanywe vazi rasmi la Taifa.
Naona limemtoa sana linataka kufanana na yale mavazi ya wanaanga wa NASA.
[emoji16] Na alie tu hamna namna[emoji1] [emoji1] akii akipitia hizi comments lazima aliee!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hakikaHuu uzi unatupa adhabu kwelikweli, kila ukisoma comment lazima urejee kwenye picha ya huyo mwana anga kuthibitisha kinachosemwa.