Vazi la Taifa Lapatikana😂😂

Vazi la Taifa Lapatikana😂😂

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,927
Reaction score
46,274
IMG_20191005_200856.jpg


Wakuu Mnaonaje hili Vazi alilovaa Mtangazaji wa TBC leo lifanywe vazi rasmi la Taifa.

Naona limemtoa sana linataka kufanana na yale mavazi ya wanaanga wa NASA.
 
Huwezi amini nilijua ni wale wanaanga wa NASA anasubiri kuvaa lile likofia la kioo...hata hivyo kapendeza!
Hawa watangazaji wa TBC wao wenyewe ni burudani sana kuwangalia....mwanzoni nilidhani mwana anga wa NASA😅😅
 
Nashauri Serikali iwape allowance ya nguo hawa watangazaji wa TBC. Kiasi cha TZS.600,000/= kwa mwezi kama allowance ya nguo itaweza kuwatosha ili wawe na mwonekano mzuri wanapotangaza. Sio kama hivi huyu wa leo anaonekana kama anajiandaa kwenda ISS kwa maroketi ya Warusi
 
Hahaaa inatia huruma,jamani wadhamini angalieni Dada zetu wanadhalilika...hata kam siipendi TBC but sio sawa kuwatenda hawa viumbe hivi.Mjitathmini tafadhali.
 
Back
Top Bottom