Vazi la manesi

Vazi la manesi

Uzi mpana kama huu bila picha ni sawa na kula nya bila kuweka chumvi. Weka hata picha ya mfano ili mjadala unoge.
 
Ukute Nesi afya nzuri anainamainama mbele ya kitanda cha mgonjwa kama unaumwa ugonjwa mdogo utapona tu baada ya kuona kabati lote liko wazi na vyombo vya ndani vinaonekana. Askari polisi, magereza na wenzao wengine wa kike nao walikuwa wanavaa hivyo vimini sketi japo siku hizi wanavaa suruali wote na hao manesi. Kwa Kweli ilikuwa ni mifadhaiko mitupu kwa wasioona makabati yakiwa wazi na vyombo vinaonekana
 
Kuna Wale Askari Magereza Wa Kike Hajali Kukaa, Haieleweki kama wanafanya makusudi au ni kawaida kukaa na kuacha taiti imejitokeza nje kuzidi sketi pale unapoingia mapokezi ya kuangalia mahabusu/ wafungwa wa kike. Sijui kama wanachukulia wote wanaoingia eneo hilo ni wanawake wenzao na kuacha kukaa mkao wa kuficha taiti isionekane .
 
Ile ni kumfariji mgonjwa aliekata tamaa ya maisha unajua mgonjwa alie lazwa hua na mawazo sana ya kifo hivyo akimwona nass kidogo anafarijika
Habari ndugu wa JF, najiuliza vijiswali vingi sana kuhusina na vazi la manesi wetu ambalo ni sare ya kazi.

Hivi ni kwanini mara nyingi huwa ni fupi sana kiasi kwamba akiinama, huko nyuma tunaficha macho wengine tunameza mate hususani hawa manesi wa kike.

Hivi wanavaa vazi fupi kwanini?

Mwenye majibu sahihi naomba anijibu.
Asanteni.
 
Ili kuwapa unafuu wagonjwa wale viwembe kama ww pindi wakiwa wanaumwa
Habari ndugu wa JF, najiuliza vijiswali vingi sana kuhusina na vazi la manesi wetu ambalo ni sare ya kazi.

Hivi ni kwanini mara nyingi huwa ni fupi sana kiasi kwamba akiinama, huko nyuma tunaficha macho wengine tunameza mate hususani hawa manesi wa kike.

Hivi wanavaa vazi fupi kwanini?

Mwenye majibu sahihi naomba anijibu.
Asanteni.
 
Wanadai haitakiwi akiinama nguo iguse chini, yaani asiwe na kazi ya kushikilia nguo usichafuke anapokuwa kwenye majukumu yake ndio maana wasioweza nguo fupi wanashona suruale
Wanaepuka contamination kwa lugha ya kitaalamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom