Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,820
Hii ni logic!Wanadai haitakiwi akiinama nguo iguse chini, yaani asiwe na kazi ya kushikilia nguo usichafuke anapokuwa kwenye majukumu yake ndio maana wasioweza nguo fupi wanashona suruale
