Vazi la manesi

Ukiona upo hospital na unawaza vazi la nesi ujue umepona. Unatakiwa urudi nyumbani haraka sana
 
nahisi hii nongwa tumeiiga ughaibuni ambako wao mtu kuonekana hata karibu robo tatu ya miili yao ni kawaida..
 
Manesi wa wapi zenji sijawaona hao!
 
Picha jomba
 
Wanadai haitakiwi akiinama nguo iguse chini, yaani asiwe na kazi ya kushikilia nguo usichafuke anapokuwa kwenye majukumu yake ndio maana wasioweza nguo fupi wanashona suruale
Babe....
Unamaanisha kama hivi...!!??[emoji53][emoji53]
Maana kama huyu akiinama, nunu yote inageuka kuwa tangazo...tehteehh
 
Mimi nikiona mapaja na magoti manesi napona [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamani manesi mnavyotufanyia Mungu anawaona
 
chiba hiyo stuli uliyokalia mbona kama ya home iliyopotea mkuu,,?

kuna stuli yetu imepotea kama wiki mbili za nyuma,,,
Dah [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 


Ili mgonjwa apate matumaini ya kupona.😎😎😎😎
 
Ili msichoke kurudi tena,ndio maana mahospitalini watu hawaishigi wengi wanaenda na mambo yao mfano kama hayo uliyosema
 
Ni tiba ya kisaikolojia ukiona upaja hata kama una vidudu vya malaria ukipima huvikuti tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…