Vazi la manesi

Joined
Jun 24, 2017
Posts
31
Reaction score
9
Habari ndugu wa JF, najiuliza vijiswali vingi sana kuhusina na vazi la manesi wetu ambalo ni sare ya kazi.

Hivi ni kwanini mara nyingi huwa ni fupi sana kiasi kwamba akiinama, huko nyuma tunaficha macho wengine tunameza mate hususani hawa manesi wa kike.

Hivi wanavaa vazi fupi kwanini?

Mwenye majibu sahihi naomba anijibu.
Asanteni.
 
Ikishika chini inachukua na migonjwa mingine sio kuchafuka tu
Wanadai haitakiwi akiinama nguo iguse chini, yaani asiwe na kazi ya kushikilia nguo usichafuke anapokuwa kwenye majukumu yake ndio maana wasioweza nguo fupi wanashona suruale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…