Vazi la Kiume - Zenji

Vazi la Kiume - Zenji

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,762
Reaction score
5,363
Wanaume wa Kizenji wavae hivi!
ZANZIBARFASHIONWEEK1.jpg
 
Kwa watu wa Pwani hilo ni second CHOICE.... haina tabu inakubalika kiwtamaduni ( nchi nyingi zenye mwambao/bahari huvaga hivi km: Indonesia,india,Yemen,Vietnam,Thailand,Singapore, Malasyia,Eritrea,Somalia,Brunei nk)
Bravo kwa ZanzibarFeshen !! Vijana wamependeza .
 
Sijui ni kwa nini watu hawaingi mavazi ya heshima? Hii milegezo yanaipendea nini? Utakuta mtu na heshima zake boxer liko njeeee
 
Mkuu; usijali yatapita hayo...ni Vizazi vipya !! kawaida kila wakati na vizazi vyake!! wacha vijana wafurahi.
 
Back
Top Bottom