mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 459
Ufinyu wa mawazo
CCM haiwezi kuwa na kijana legelege kama wewe.WAKUU ,Nawasalimu leo nilikuwa kwenye ziara ya kichama ya chama changu cha ccm na mara nyingi tunapomaliza mkutano napata maswali mengi toka kwa wananchi ni kwanini CCM tumeanza kushona mavazi yanayofanana na yale ya CHADEMA kwa mfano wa kombati, je ni kuwa ndani ya ccm hakuna vijana wabunifu watakaokuja na mtindo tofauti na wachadema ili kuwavuta wananchi wa rika zote,ccm haina watu wabunifu wanaoweza kulibuni hili vazi la RANGI YA KIJANI mpaka tuige MTINDO NA MUUNDO wa chadema.
Wale vijana wakanipa mfano wa viongozi waandamizi wa ccm kama nape nnauye,mwigulu mchemba,mwenyekiti wa uvccm wanavovaa mavazi ya kijani yenye mfumo wa KOMBATI ALIZOBUNI MBOWE wa chadema,nimekuja kuwauliza wanajamvi ni kweli hivi karibuni ccm imeiga vazi la chadema au la,na je kweli ccm hawawezi kuja na mtindo wao wenyewe badala ya kuiga kombati za chadema.nawasilisha
Chadema ndio wameiga mavazi ya UVCCM. Combat zimeanza kuvaliwa na maskauti wa CCM kabla hata MTEI hajafikiria kuanzisha Saccos iitwayo CHADEMA.
walidesa kwa hayati baba wa taifa ndo yalikua mavazi yakeChadema ndio wameiga mavazi ya UVCCM. Combat zimeanza kuvaliwa na maskauti wa CCM kabla hata MTEI hajafikiria kuanzisha Saccos iitwayo CHADEMA.
CCM haiwezi kuwa na kijana legelege kama wewe.
Jitambulishe vizuri.
Chadema ndio wameiga mavazi ya UVCCM. Combat zimeanza kuvaliwa na maskauti wa CCM kabla hata MTEI hajafikiria kuanzisha Saccos iitwayo CHADEMA.
CCM haiwezi kuwa na kijana legelege kama wewe.
Jitambulishe vizuri.
WAKUU ,Nawasalimu leo nilikuwa kwenye ziara ya kichama ya chama changu cha ccm na mara nyingi tunapomaliza mkutano napata maswali mengi toka kwa wananchi ni kwanini CCM tumeanza kushona mavazi yanayofanana na yale ya CHADEMA kwa mfano wa kombati, je ni kuwa ndani ya ccm hakuna vijana wabunifu watakaokuja na mtindo tofauti na wachadema ili kuwavuta wananchi wa rika zote,ccm haina watu wabunifu wanaoweza kulibuni hili vazi la RANGI YA KIJANI mpaka tuige MTINDO NA MUUNDO wa chadema.
Wale vijana wakanipa mfano wa viongozi waandamizi wa ccm kama nape nnauye,mwigulu mchemba,mwenyekiti wa uvccm wanavovaa mavazi ya kijani yenye mfumo wa KOMBATI ALIZOBUNI MBOWE wa chadema,nimekuja kuwauliza wanajamvi ni kweli hivi karibuni ccm imeiga vazi la chadema au la,na je kweli ccm hawawezi kuja na mtindo wao wenyewe badala ya kuiga kombati za chadema.nawasilisha
sijuhi kama unafahamu hata kabla ya kombati mavazi unayozungumzia ndiyo yalikuwa sare za umoja wa vijana wa ccm ?