....Vazi Gani linakuvutia kwa Umpendae...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Ke/Me huwa tunavutiwa na Baadhi ya nguo kwa tunao wapenda.
mimi binafsi Laazizi wangu akipiga kanga ikamshiba sawia juu akapga kitopu chake...akawa anaenda jikon na kurudi kwa Sebulen jaman sitoki ndani siku hyo....
Sijui wenzangu..

Hili Nalo limo...mmmh My arabela
cute1.jpg
 
Shati la Kikwete lenye Maua Maua hili ndio la kwanza kuona limevaliwa na Mwanaume wakati wa Sensa
 
Ke/Me huwa tunavutiwa na Baadhi ya nguo kwa tunao wapenda.
mimi binafsi Laazizi wangu akipiga kanga ikamshiba sawia juu akapga kitopu chake...akawa anaenda jikon na kurudi kwa Sebulen jaman sitoki ndani siku hyo....
Sijui wenzangu..
akivalia suti mi hoi
 
charminglady mpenzi hakuna vazi nnalolipenda kama kile ki sexy Lingerie unachokivaaga usiku, yani uwa napatwa mshawasha usio wa kawaida najikuta nakupenda mara mia zaidi,
 
Last edited by a moderator:
Du!!Hapa mnawapenzi ndio maana mnataja vazi!Sisi tunaotafuta nahatuna kwasasa mnatufanya tuweweseke tu!Jamani natafuta mpenzi wakike,mrefu wastani,white awe naunyele ulioshiba,macho yakungu pia awe naka-aibu fulani hivi!Msaada jamani!
 
Nenda MMU,KUNA BINTI anatafuta mpenzi.
 
Back
Top Bottom