....Vazi Gani linakuvutia kwa Umpendae...

Akipiga modo jeans na shati la ukweli juu, moyo unasuuzikaaa.
 
Akivaa kitenge mshono wa KITAIFA (nadhani wadada mnaimbuka na kuijua style hii ya mavazi) hapo nitamtembeza kwa friends woote wamuone.
 
Wangu akivaa truck ya blue na body tight nyeupe,
yaani anaonekana a Virgin Man.
Yaani hajagusa mtu kbs.
 
boxer nyeusi, afu awe na kifua cha maana hm! uwiiiiiiiiiiiiii naweza mtafuna mtu!!!
 
Back
Top Bottom