Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,930
- 4,003
Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda.Nani alithibitisha mtume kwenda kuchukia swala mbinguni?Tukiamini hii story tuamini na ya Zumaridi kwenda mbinguni.
Kuna mtu alishuhudia?Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda.
Waislamu husema miongoni mwa vitu ambavyo alipewa alipoenda mbinguni ni Swala tano.Kuna mtu alishuhudia?
KabisaNani alithibitisha mtume kwenda kuchukia swala mbinguni?Tukiamini hii story tuamini na ya Zumaridi kwenda mbinguni.
Unaaminigi mambo ya ajabuKama wao ndio walimu train vipi safari ya Mud ya kwenda mbinguni nguni kuchukua swala nako huko walimpeleka?
AiseeeeBakonzi tukimaliza hapa kuufinya twende tukawakate vichwa hapo hapo Vatican
View attachment 3512219
Acha bangi 😁Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda.
Sio kweli sini issues tu ya psychology jambo lolote lile likipandikizwa akilini mwako lazima utaliaminiWaislamu husema miongoni mwa vitu ambavyo alipewa alipoenda mbinguni ni Swala tano.
Nikiangalia namna ambavyo wanatekeleza swala zao kwa bidii na uaminifu ina nisukuma kuamini kwamba alienda mbinguni.
Umeua
Atapigwa spiritual nyuma ya mlango kwisha habari kabisa