Varangati manispaa ilala. Walimu wasema uovu wa serikali ya ccm sasa basi

Varangati manispaa ilala. Walimu wasema uovu wa serikali ya ccm sasa basi

Kwan kuchelewesha mishahara kuna uhusiano gani na CCM hapo? Nafikiri sio vizuri kuitupia lawama CCM hata kwa mambo madogo wasiyoyasababisha wao kwa sababu inawezekana huyo afisa Utumishi mwenyewe ni upinzani

We kuku nini? Serikali inaongozwa na chama gani? Ukishashiba na kuj....Mpa haumjui mwenye shida! Vijana wanadai haki yao unaleta umagamba!
 
Kwan kuchelewesha mishahara kuna uhusiano gani na CCM hapo? Nafikiri sio vizuri kuitupia lawama CCM hata kwa mambo madogo wasiyoyasababisha wao kwa sababu inawezekana huyo afisa Utumishi mwenyewe ni upinzani

We ni mtanzania wa wapi?hujui serikali iliyoko madarakani ni ya hao majambazi!
 
U WAAMBIE WASIANDAMANE WATAUWAWA DUUU MJADALA WAJANA ULE KWENYE ITV UNAONYESHA HAYO MKUU!
POLISI WETU NI WEHU! wanapenda kutumia lisasi!
 
Updates.

Kwa mujibu wa mwalimu mpya wa hapa shuleni kwangu ni kwamba wamefika kwa mkuu wa mkoa na wameletewa afisa elimu mkoa amewasikiliza na kawa ahidi anafuatilia leo leo hazina na kwa mkurugenzi wa manispaa hivyo j3 saa 3 wakachukue jibu la kueleweka ofisini kwake.

Ila amewataka wasiandamane tena, waende wawakilishi watatu tu. Lakini walimu wamepanga j3 wanaenda wote halafu watatu wataingia ndani wengine watasubiri nje wanachotaka ni pesa tu so kama itatoka hazina sawa kama itakopwa bank sawa cha msingi mishahara yao wapewe.
Hakuna kufundisha mpaka kieleweke.
 
Kwan kuchelewesha mishahara kuna uhusiano gani na CCM hapo? Nafikiri sio vizuri kuitupia lawama CCM hata kwa mambo madogo wasiyoyasababisha wao kwa sababu inawezekana huyo afisa Utumishi mwenyewe ni upinzani

swala la MSHAHARA DOGO?HIVI KWAKO WEWE SUALA KUBWA NI NINI?
Madaktar walig0ma kwa suala lipi?
Nyie ndo mnaudh mnaitwa MABW3G3
 
hii serikali ina mpango gani?waanze kuuza ma vx v8 yao yaliyojaa ili walipe wafanyakazi wake
 
Nchi hii ukiwa mwoga utanyonywa mpaka ukauke

walimu wa mwaka huu sio waoga mkuu. Mpaka muda huu mmoja kanipia simu tayari wapo kwa mkuu wa mkoa pale ilala boma wanadai haki yao.
Vipindi mashuleni vinapita tu na wanaoathirika ni watoto wa walipakodi. Hii serikali ovu sana!
 
mtajuta kuchagua magamba, mrema na slaa walishasema
 
Habari zenu wakuu!
Nipo maeneo ya Manispaa Ilala varangati kubwa linaendelea walimu wapya wanadai mishahara yao.

Kama inavyozoeleka serikali hii ovu ya CCM mwaka huu imeamua kuwadhulumu kabisa walimu hawa mishahara yao ya mwezi wa pili.

Tayari walimu wameshaonana na afisa utumishi na majibu aliyotoa ni ubabaishaji mtupu.
Afisa huyo amedai mishahara haitakuwepo kwa mwezi huu kwakua imeshindikana ku scan majina ya walimu kwenye computer na kuyatuma hazina kwa kuwa network ipo slow.

Walimu wamechachamaa wanahoji iweje wenzao wa Mwanza, Mara, Singida wapate halafu wao wa Dar wakose?
Mpaka sasa walimu wapo hapa na wamesema uovu wa serikali ya ccm sasa basi, hawaondoki mpaka kieleweke wameshavamaia ofisi ya mkurugenzi wanamsubiri afike.

Je mishahara ya walimu hawa ndio imetengwa kwa kampeni Arumeru??

Kitakachoendelea nitawajuza.

Ni masikitiko makubwa enzi hizi za komputa kuchelewesha mishahara miezi
kadhaa baada ya mtu kuajiriwa! Je! Ingekuwa enzi za manual payroll hawa walimu wangelipwa baada ya miaka. Watendaji wa namna hii hata wawe wafuasi wa nani wanapaswa kunyongwa.
 
Kwan kuchelewesha mishahara kuna uhusiano gani na CCM hapo? Nafikiri sio vizuri kuitupia lawama CCM hata kwa mambo madogo wasiyoyasababisha wao kwa sababu inawezekana huyo afisa Utumishi mwenyewe ni upinzani
Thubutuuu! manispaa ya Ilala ukijulikana tu we ni wa chama tofauti na CCM basi lazima wakutafutie zengwe utaamishwa tu! madiwani wenyewe wanao jidai ndiyo wenye manispaa yao wote ni chama tawala hapo CCm haikwepi hiyo lawama!
 
Back
Top Bottom