Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 147
Jux anasoma degree huko china.Jux mwenyewe hapendeki, ukimpenda unaishia kwenye Magereza ya China
Kajibu vema kuhusu Kiba na Diamond, lakini ukishakuta mtu anatoa excuse kuhusu mapenzi huyo tayari ana tatizo
Kwenye kipindi cha Friday Night Live ambacho kinarushwa na East Africa Television na East Africa Radio, Vanessa ametoa jibu kuwa yeye anapenda pesa zaidi, kuliko mapenzi, na kuibua hisia kuwa huenda hata kwa mwandani wa ambaye pia ni msanii anayefanya poa kwenye bongo Fleva Juma Jux, yupo kipesa zaidi na si Mapenzi.
Mtangazaji wa kipindi hiko alisikika akimuuliza vanessa maswali ambayo alitakiwa kujibu ndani ya sekunde, na ndipo alipotoa jibu hilo kuwa anapenda pesa zaidi.
Sam: Unachukua muda gani kuvaa getting ready?
Vanessa: 30 minutes
Sam: Diamond au pulse?
Vanessa: Diamond
Sam: Hils au sneakers?
Vanessa: Sneakers
Sam😀resses au trousers?
Vanessa:Trouser
Sam: Icecream au chocolate?
Vanessa:Chocolate
Sam:Nyama au Salad?
Vanessa:Nyama
Sam: Diamond au Alikiba?
Vanessa: Vanessa
Sam: Bags au purses?
Vanessa: Bags
Sam: Ugali au wali?
Vanessa: Ugali
Sam: Mapenzi au pesa?
Vanessa: Pesa
Pia katika maswali hayo Vannesa Mdee alishindwa kuweka wasi ni msanii yupi anamkubali zaidi kati ya Diamond na Alikiba, baada ya kuulizwa kuhusu wao na kuamua kujitaja mwenyewe.
Na mpenzi wake anateseka gerezani huko ChinaJux anasoma degree huko china.
kwani ni cha ajabu hapo??? kwani wewe ungechagua mapenzi???kwa atakaechagua mapenzi kichwani kwake kutakua na mawe badala ya akili..tafakari chukua hatua..
Kwenye kipindi cha Friday Night Live ambacho kinarushwa na East Africa Television na East Africa Radio, Vanessa ametoa jibu kuwa yeye anapenda pesa zaidi, kuliko mapenzi, na kuibua hisia kuwa huenda hata kwa mwandani wa ambaye pia ni msanii anayefanya poa kwenye bongo Fleva Juma Jux, yupo kipesa zaidi na si Mapenzi.
Mtangazaji wa kipindi hiko alisikika akimuuliza vanessa maswali ambayo alitakiwa kujibu ndani ya sekunde, na ndipo alipotoa jibu hilo kuwa anapenda pesa zaidi.
Sam: Unachukua muda gani kuvaa getting ready?
Vanessa: 30 minutes
Sam: Diamond au pulse?
Vanessa: Diamond
Sam: Hils au sneakers?
Vanessa: Sneakers
Sam😀resses au trousers?
Vanessa:Trouser
Sam: Icecream au chocolate?
Vanessa:Chocolate
Sam:Nyama au Salad?
Vanessa:Nyama
Sam: Diamond au Alikiba?
Vanessa: Vanessa
Sam: Bags au purses?
Vanessa: Bags
Sam: Ugali au wali?
Vanessa: Ugali
Sam: Mapenzi au pesa?
Vanessa: Pesa
Pia katika maswali hayo Vannesa Mdee alishindwa kuweka wasi ni msanii yupi anamkubali zaidi kati ya Diamond na Alikiba, baada ya kuulizwa kuhusu wao na kuamua kujitaja mwenyewe.
Ndoto za watoto wa kota utazijua tu.Huyu dada nilishawahi kuota ndoto seriously eti nipo kufunga nae ndoa...! nlishangaa sana, na hyo ilikuja maana kama siku mbili nyuma nlitoka kubishana na washkaji waliosifia wimbo wa never ever, mi nliuponda sana na nakamponda sana mpka yeye mwenyewe, daaah
Eeeh unasema...???Mchaga na Mpare na Pesa you cant separate..
Nyie watu huwa nawashangaa sana. Wanaume wa dar wakijadili wanasiasa hamsemi ila wasanii mnajifanya mnaponda. Hahaha hapo najua umesoma stori nzimaSababu ipo hapa tutasoma tu hakuna namna ila mmbadilike
Kama huyo mdada nae ni mpenda pesa ataishia kuleee aliko mwenzake!Jux mwenyewe hapendeki, ukimpenda unaishia kwenye Magereza ya China
Karuka kiunzi kimoja hatari sanaKajibu vizuri kabisa mapenzi hayanogi kama hakuna pesa,pia nimependa hapo DIAMOND au kiba kajibu vizuri sana kuliko sana yenyewe wewe mwenyewe msanii wa muziki kama wao halafu useme mimi DIAMOND/KIBA ni ujinga.