Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Sifa ya mtu mweusi ni kukomaa sehem za siri kama makalio, papuchi, makwapa ndo maana ni busara kuficha sehem hizo zilizokomaa, naonaga waliochubua sura ukiwafunua makalio na katikati weuc tii izi sehemu ni naturaly resistants
Comments kama hizi ndo zinafanya wadada wakose confidence na waanze kujichubua na wakijichubua ili wawe weupe mnawaponda pia dah! Ni mwafrika ulitaka awe na tako rangi gani?!
Comments kama hizi ndo zinafanya wadada wakose confidence na waanze kujichubua na wakijichubua ili wawe weupe mnawaponda pia dah! Ni mwafrika ulitaka awe na tako rangi gani?!
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini
Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini View attachment 496702View attachment 496703
Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia rangi ya makalio yake
Huu ujana huu!!!!! Mnaharibika kweli nyie...... Hivi anahitaji mtu kuvaa hivyo ili kuwa "up to date"? Ukivaa nguo za kuusitiri mwili wako huonekani vizuri? Bahati mbaya huwa siendi kwenye kumbi za starehe otherwise siwezi kukaa chini na kuangalia uchafu km huu!!!!
Daah sijui wazazi wake wanajiskiaje wakiona mapicha dizaini hii. Wakati mwingine wazazi wetu wanaugua magonjwa ya ajabu sana kwasababu yetu sisi watoto waliotuzaa