Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,287
- 10,947
ndio..ona binti mwingine aliezaliwa na tanzania na kwenda kusomea marekani kama vanessabaada ya graduation wazaz wake na familia wakamwandalia kaparty ka kumpongeza..hapo akiwa na baba mzazi(mh abbas mtemvu) na mamake mzazi ambae alikua diwani..
View attachment 496813

Kweli dunia imevaa chupi.!
baada ya graduation wazaz wake na familia wakamwandalia kaparty ka kumpongeza..hapo akiwa na baba mzazi(mh abbas mtemvu) na mamake mzazi ambae alikua diwani..

