Vanessa Mdee ana bahati..

Wooooooooooooh ma fav artist, naenjoy mnoo vee kuwa na rottiee,
Hii hit ni noumer na wameua kwa kweli.
"Vee money on the truck eeeh" kwa saut ya Vanessa.
 
Vanessa mtoto mzuri wala sio bahati. Yaani huyo mtoto hata ingekuwa mimi, everyday ningekuwa nakesha popo mpaka azae, sio Jux alikuwa anashindana nae kupaka rangi za kucha tu.
 
Vanessa mtoto mzuri wala sio bahati. Yaani huyo mtoto hata ingekuwa mimi, everyday ningekuwa nakesha popo mpaka azae, sio Jux alikuwa anashindana nae kupaka rangi za kucha tu.
jamani khaaaaah.
 
Mapenzi yamefika sehemu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…