Valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?

Valve zina control hewa inayoingia na kuoka kwenye engine..so valve zipo timed ni wataki gani hewa iningie na wakati gani hewa iwe blocked ili compression itokee na na wqkati gani iwe open kuruhusu burnt westes zotoke kwa njia ya exhaust pipe..

Sasa valve zikiwa timed inavotakiwa maana yake haitakua inaruhusu leakage ya hewa so air mixture ratio kwakila cylinder itakiwa ipo kwenye level inayotakiwa, so ikitokea kwa nanmna yoyote valve hazipo synchronized vizur na crankshaft basi leakage ya hewa inatokia na injini itaanza kula mafuta na inakua vibration.
 
utajuaje kama callibration ya valves ipo sawa au haipo sawa,kwa sisi ambao sio mafundi,ila gari zetu zinabugia sana wese.
 
Hapa sijajua calibration ipi ya valve unazungumzia.

Sijui kama ni Valve clearance au Timing.

Ila simply kama fundi ni ngumu kujua.

Timing ikihama kwenye engine cylinders zote zinakuwa na relative low compression.

Pia kama kuna ishu yoyote kwenye valve, ambayo inapelekea hewa kuleak. Ukifanya dry na wet compression tests majibu huwa yanakuja sawa kwa specific cylinder. Wakati wet inatakiwa kuwa kubwa.

Ukifanya compression leak down test, tegemea kukutana na leak ya hewa kwenye intake au exhaust manfold kulingana na ishu ipo kwenye intake valve au exhaust valves.

Kuhusu valve clearance hapo ndio either engine itakuwa na vibrations sana clearance ni ndogo au itakuwa haina nguvu kama clearance ni kubwa. [Hapa sina utaalamu sana].
 
shukrani mkuu
 
Habari wakuu, naomba ufafanuzi gari yangu ni aina ya wish cc 1700 ina 16 valves, sasa hizi valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?
16 valves inamaana engine yako ina valve 4 kwa kila cylinder. Idadi ya vavlve inaweza isiwe na uhusiano na ulaji wa mafuta... kama engine yako inakula mafuta kuliko kawaida, ni vizuri ukaenda kwa fundi aangalie tatizo ni lipi.

Baadhi ya matatizo yanayosababisha gari kumia mafuta zaid ni pamoja na; tairi vipara, kuongeza uzito kwenye gari, kutumia oil iso sahihi, engine inaweza kua na tatizo katika uchomaji, shida katika oxygen sensors nk...
 
Hapa sijajua calibration ipi ya valve unazungumzia.

Sijui kama ni Valve clearance au Timing.

Ila simply kama fundi ni ngumu kujua.

Timing ikihama kwenye engine cylinders zote zinakuwa na relative low compression.

Pia kama kuna ishu yoyote kwenye valve, ambayo inapelekea hewa kuleak. Ukifanya dry na wet compression tests majibu huwa yanakuja sawa kwa specific cylinder. Wakati wet inatakiwa kuwa kubwa.

Ukifanya compression leak down test, tegemea kukutana na leak ya hewa kwenye intake au exhaust manfold kulingana na ishu ipo kwenye intake valve au exhaust valves.

Kuhusu valve clearance hapo ndio either engine itakuwa na vibrations sana clearance ni ndogo au itakuwa haina nguvu kama clearance ni kubwa. [Hapa sina utaalamu sana].
Umekibu vizuri aana mkuu asante
 
utajuaje kama callibration ya valves ipo sawa au haipo sawa,kwa sisi ambao sio mafundi,ila gari zetu zinabugia sana wese.
Gari kula wese ni mkusanyiko wa factors nyingi..mkuu unawenza anza na simple diagnosis...kama unafundi mzuri anaejua tumia diagnosis machine na kutafsiri vizuri live data mwambie apime kitu kinaitwa fuel trim..aangalie je injini ina run very rich? Hapo utapata pa kuanzia..

Sometimes things can be oxygen sensor, unaweza air cleaner ni chafu sana so no enough air kwenye intake manifold, or MAF sensor inaahida, or or exhaust system inashida..from catalytic converter, au exhaust pipe labda imetoboka mahala labda kuna leakage ya back pressure.. inaweza kua ni spark plugs..au inaweza kua ni driving yako ndo ipo aggressive hauachi gari ika attain speed mdogo mdogo.., au unaendesha gari ikiwa na tairi zenye upepo below PSI 30, au unaweza kua leaking injectors..

Isssue za valves na compression kiujumla hiv ni vitu vikubwa sana kwenye injini, yaan mpaka injini kufika huku kiasi cha kuanza kula mafuta because of any reason inayosababisha low compression ujue injini inakua imefika wakati wa kua overhauled au kua replaced..so anza na vitu vidogo vidogo kuviangalia kama nilivo vitaja hapo juu..hasa pima fuel trim ili upate wapi pakuanzia... Asante.

Ila kama itafika wakati wa kucheck compression, fanya compression test both dry and wet uone pressure values unazopata je zipo within manufacturer spec for that particular engine or zipo out of range..
 
Hii ni Nissan Xtrail yenye engine QR20DE,

Hii ni first cylinder iko na around 200psi.

LMC_20220830_121848925_8.4.300.PORTRAIT.jpg

Hii ni 4th cylinder iko around 165psi

LMC_20220830_120524189_8.4.300.PORTRAIT.jpg

Kutoka kwenye maintenance data za hiyo engine

Standard ni 170psi

Minimum ni 144psi

Pia differential coefficient ya compression baina ya Cylinder moja na nyingine haitakiwi kuzidi 14psi.

Hiyo engine ina vibrations ambazo haziishi.

Tofauti ya compression hapo kwenye hizo picha mbili ni almost 35psi. Hii ndio sababu ya hizo vibrations.
 
Hii ni Nissan Xtrail yenye engine QR20DE,

Hii ni first cylinder iko na around 200psi.

View attachment 2340239

Hii ni 4th cylinder iko around 165psi

View attachment 2340240

Kutoka kwenye maintenance data za hiyo engine

Standard ni 170psi

Minimum ni 144psi

Pia differential coefficient ya compression baina ya Cylinder moja na nyingine haitakiwi kuzidi 14psi.

Hiyo engine ina vibrations ambazo haziishi.

Tofauti ya compression hapo kwenye hizo picha mbili ni almost 35psi. Hii ndio sababu ya hizo vibrations.
Naam lazima vibration iwekubwa kwakua variation ipo out of range...pia utakuta hata fuel consumption haipo vizuri kwakua engine haipo efficient,, Sasa ukikuta fundi kanjanja unampelekea gari kama hii atibu asee utanunulishwa mavitu mpaka ujute yet problem won't be solved.

Na cause ya shida hii utakua oil kutobadilishwa kwa wakati mara nyingi.
 
Habari, ahsanteni sana kwa kureply post yangu, bila shaka nimepata elimu na nitaifanyia kazi... Ila naomba na hili la gari kutembelea 4wd, ni iyoiyo toyota wish, katika dashbod haiondoki alama ya 4wd, ila kuna button ya automatic 4wd nikiiclick sioni tofauti..
 
Back
Top Bottom