Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Mzee mwenzangu, za leo?
Hayo mashimo nadhani yamefanyiwa finishing ya Gold kutoka Buzwagi.
Other wise yatakuwa ni marefu ya maili kadhaa.
Hiii hii hiii!
kwa kweli nina hamu ya kuyaona au hata kwenda kuyatumia kuweka kumbukumbu kuwa I too.. used the matundu!
Mzee mwenzangu, za leo?
Hayo mashimo nadhani yamefanyiwa finishing ya Gold kutoka Buzwagi.
Other wise yatakuwa ni marefu ya maili kadhaa.
Hiii hii hiii!
hahahaha hahahaha hahahaah oyaa sie wengine hatujala chai bana.Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Ni kweli kuna walakin somewhere, unless mtu alete evidence ya anachokisema Dr Slaa, I am made to believe kuwa ni pure fabrication
Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!