Valentine's day ni ufuska

Valentine's day ni ufuska

Pole kwa kuondokewa na rafiki zako pamoja na mjomba wako, tafakari maisha yako sasa je umejiandaa vipi na ulimwengu ujao wa dunia isiyoonekana kwa macho yaaani Mbingu takatifu ya Mungu wa Watakatifu tu!
 
Bongo ndo mnaochemka sana na hio Valentine day, wenzenu huko ilikotokea hawawashwi kivile na hio makitu...
Kweli kabisa. Leo asbh nlimsalimia mwingereza mmoja yupo hapa ktk NGO fulan akanijibu alikuwa amesahau km leo ni valentine. Nkashangaa jins wabongo tulivojiandaa kwa mambo kemkem
 
Hilo neni kunyerokunyero limenichekesha sana mkuu mtoa mada
 
Nitake radhi mkuu, ufuska ufanye wewe lawama apewe ibilisi, yaani pale mnapokosa majibu ya makosa yenu na kukwepa kuonekana mpumbavu mnakuja na viutetezi vya kitoto eti ibilisi kanidanganyaa.
Shenzi nyiee
Hahahaaaa
 
Sasa wewe mtoa mada ndo upo wrong mazima...soma historia ya siku hii chanzo chake ni nini haswa...
 
Pole kwa kuondokewa na rafiki zako pamoja na mjomba wako, tafakari maisha yako sasa je umejiandaa vipi na ulimwengu ujao wa dunia isiyoonekana kwa macho yaaani Mbingu takatifu ya Mungu wa Watakatifu tu!



Mkuu nipo kwenye kipindi cha mfungo ni kipind cha kuwa mnyenyekevu mbele ya Mungu na kutenda mema...pamoja na kuongeza sala na kufanya yaliyo mema
 
Aah sasa mbona hukusema mapemaaa, ushakosa mambo mazuri leo. Ndo usubiri tena mwakani ukiwa single sasa[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hivi ningekwambia mapema ningepata mambo mazuri kumbe

Tutengeneze nyingine... valentine extended version 🙂
 
mkuu, utoaji wa zawadi ni pamoja na ZAWADI ya MBUNYE kwa mpenzy wako. kwani tatizo liko wapi?
 
Hivi ningekwambia mapema ningepata mambo mazuri kumbe

Tutengeneze nyingine... valentine extended version 🙂
ndo maana yake, ungetoa taarifa mapema... yani ushapishana na gari la mshahara teh. Hiyo version nyingine sijui kama itanogaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Huyo nae alikuwa anajifanyisha tu, tena wao ndio wanaojali mambo haya kwa sana tu.
Aache mizinguo huyo mzungu
 
Nianze kuwapongeza wale wanaoitumia siku hii kuwakumbuka ndugu na jamaa zao. Hawa wanaonyesha uhalisia na maana ya siku hii.
Lakini asilimia kubwa huitumia siku hii kutuma kadi ama zawadi kwa wapenzi, wenza na wachumba. Kundi hili linafanya maigizo tu. Hawana lolote!
Unampelekea zawadi/kadi mpenzi huku ukiwa na meseji za kimapenzi kichwani ama kwenye simu yako za michepuko mingine!! Nasema michepuko wala si mchepuko. Wewe dada/kaka amka!! Unapigwa changa la macho. Kama unabisha mwambie mbadilishane simu zenu kila MTU akae na simu ya mwenzake siku nzima ya leo.
(Kwa akina kaka tu). Hivi wewe kaka unawaza nn kupoteza muda na fedha zako kununua zawadi unampelekea mdada aliyevaa kimauzo? Kifua robo tatu kipo wazi, amevaa taiti inayozionyesha kunyerokunyero kisawasawa. Huyo ni wako ama wa wote? Kajipaka wanja na shedo mpk kawa na rangi mbili, kusudi lake nn? Ni kutangaza!! Hakuna upendo hapo. Kwanza umemkuta sealed? Au wajanja washafunua long? Mapenzi mbinguni duniani uzushi!
(Kwa akina dada tu) hivi wewe dada mpk huyo kaka anakuja kwako kawapitia wangapi? Na unajua akina dada wakisha funuliwa hata ipite karne siku wakikutana x game linarudiwa kama kawa! Halafu leo unajipendekeza kubeba kizawadi chako eti kwenda kwa valentine wako! Lol! Wajanja wanakung'ong'a tu.
Mapenzi hayaonyeshwi kwa zawadi ama fedha ama ujumbe mzuri ulioandikwa kwenye karatasi (kadi). Na kwa nn uamini ama ufurahishwe sana na ujumbe wa karatasi wakati original ipo? Iambie original ikupe ujumbe huo moja kwa moja.
Mwisho Valentine day huongeza mtandao wa wapenzi wengi. Ni siku ya uufuska duniani. Zawadi hununui siku zote? Ujumbe mzuri hampeani siku zote? Tuwe wakweli huyu ni ibilisi wa ngono ametawala!!!!!
black dornad trump...
 
Sasa wewe mtoa mada ndo upo wrong mazima...soma historia ya siku hii chanzo chake ni nini haswa...

Historian yake ni nzuri sana na malengo ya siku hii ni mema sana. Lakini practicability yake kwa sasa ni tofauti kabisa. This is a mutant valentine's day.
 
Back
Top Bottom