Valentine's day ni ufuska

Valentine's day ni ufuska

Historian yake ni nzuri sana na malengo ya siku hii ni mema sana. Lakini practicability yake kwa sasa ni tofauti kabisa. This is a mutant valentine's day.
Malengo yake yaliwahusu watu walio katika mahusiano ya kimapenzi tu...ila sasa watu mnalazimisha iwe kama mwaka mpya...
 
Utamu wa mume muwe wawili

Ha ha haa hayo yote wanayo mkuu! hawa viumbe hatari sana.. wanakulana denda tu kwenda mbele
images.jpeg
 
Back
Top Bottom