

saa ngap asiniambie yeye anayo ipo kwa pochi yake. Kucheki pochi yake kweli anayo tena 2 . 
ile show niliipiga haswa kweli kweli.Mwendo ulikuwa kupiga spana pale nilipo hisi hela itatumika.Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama?
Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa?
Let's go😀😀
Kama mpunga haujachomoka wewe shukuru yasongeshe maisha.
Matunda yenyewe hayo Mwamba