Valentine Hiyoooo....!!!

Siku hiyo network zinakata sana, mikutano itakuwa mirefu sana, foleni zitakuwa kubwa sana, wa kuumwa watazuga wanaumwa, simu Itakuwa hazina vocha, simu zitazima sana kisa eti charge. Heheehehe
 
Valentine.......owkey.......ije tu......
 
dah lakini wapendanao mapenzi kilacku wana jf cdhani kama kunakuadhimisha iyo valentino
 
Siku hiyo network
zinakata sana, mikutano itakuwa mirefu sana, foleni zitakuwa kubwa sana,
wa kuumwa watazuga wanaumwa, simu Itakuwa hazina vocha, simu zitazima
sana kisa eti charge. Heheehehe

yaani siku hiyo ni full balaa, watu wakiishiwa siku hiyo lazima watatoa mojawapo ya sababu hapo juu....
 
dah lakini wapendanao mapenzi kilacku wana jf cdhani kama kunakuadhimisha iyo valentino
Yap......wapendanao valentine ni kila siku, lakini siku hiyo ni ya muhimu sana, inatakiwa kuonyeshana utofauti katika huo upendo.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…