The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,131
- 13,775
Majina nayo pia yanachangia sana balaa na nuksi kwenye maisha haijalishi unajipa kwa utani. so watch out broo...Watu na bahati zao! Wangu niliwatoa Temeke Hospitali wakiwa ndani ya sanduku na mama yao tayari kwa mazishi. ilikuwa 2011. Mpaka leo sijatulia saikolojikali...