![]()
kama hutaki basi......
Kumbe wazee nao wanapenda vitu vizuri alafu viwe vidogo kiumri ila ninachojiuliza tu sijui alianzaje kumshika ndege tunduni adi yule shalobalo akamwagwa.....
mbona wanasemaga kuwa huyu mzee ameungua.
Cute kids......................
Napenda sana mapacha.....
Watu na bahati zao! Wangu niliwatoa Temeke Hospitali wakiwa ndani ya sanduku na mama yao tayari kwa mazishi. ilikuwa 2011. Mpaka leo sijatulia saikolojikali...
Watu na bahati zao! Wangu niliwatoa Temeke Hospitali wakiwa ndani ya sanduku na mama yao tayari kwa mazishi. ilikuwa 2011. Mpaka leo sijatulia saikolojikali...