Valentine Day tunaanza hivi! tazama picha

Valentine Day tunaanza hivi! tazama picha

Wewe sio kama huna bahati usiseme hivo unamkosea mola,kila chenye kupumua basi ipi siku kitakufa,sote ni wafu tulio hai tukisubiri siku zetu za kuiaga dunia,wao wametangulia nasi tunafuata.....

Mungu awalaze mahali pema peponi ,amina

Amen! Ni hali ya kibinadam kulialia, hasa ktk hili zito. Asante!
 
Watu na bahati zao! Wangu niliwatoa Temeke Hospitali wakiwa ndani ya sanduku na mama yao tayari kwa mazishi. ilikuwa 2011. Mpaka leo sijatulia saikolojikali...

Pole mkuu,.... Nani anakata vitunguu hapa?!
 
Watu na bahati zao! Wangu niliwatoa Temeke Hospitali wakiwa ndani ya sanduku na mama yao tayari kwa mazishi. ilikuwa 2011. Mpaka leo sijatulia saikolojikali...
pole sana mkuu tuwaombee waliotanguli na sisi tujiweke tayari kwa safari(mauti)
mimi wangu nimezika mwezi wa kwanza tarehe 15 / 2014 ingawa mke yupo hai inauma sana aisee
 
1779771_632469543456816_556609459_n.jpg

kama hutaki basi......
Kila mtu anaionea wivu hii couple.Tatizo mzee mjuzi wa malovidavi.ila dah sijui babu hata alitumia urimbo gani kumnasa ndege tunduni.😛hoto:😛hoto:😛hoto:
 
Kama ni penzi labda utapata ukimwacha,ni nani?
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom