kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 188 Feb 7, 2014 #1 wadau nasikia mwaka huu valentine day imepangwa kuwa tarehe 15 feb badala ya 14 feb. je ni nini kimesababisha mabadiliko hayo au ndiyo yaleyale ya CCM kusherehekea tarehe 2 badala ya 5 feb.
wadau nasikia mwaka huu valentine day imepangwa kuwa tarehe 15 feb badala ya 14 feb. je ni nini kimesababisha mabadiliko hayo au ndiyo yaleyale ya CCM kusherehekea tarehe 2 badala ya 5 feb.
N nummy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 587 Reaction score 166 Feb 7, 2014 #2 unajua maana ya valentine day? jaribu ku-google
Sanoyet JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 1,323 Reaction score 296 Feb 7, 2014 #3 Haaaa! ile siku ya wadanganyanao kwamba wanapendana! Akikwambia `I love you' usibweteke,hiyo `you' ni prural sio singular!
Haaaa! ile siku ya wadanganyanao kwamba wanapendana! Akikwambia `I love you' usibweteke,hiyo `you' ni prural sio singular!