Zawadi za valentine zenye ladha ya ki ict na zenye mafunzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi za valentine zenye ladha ya ki ict na zenye mafunzo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Feb 11, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hi wanajamvi

  Kuna zawadi za valentine unazoweza kuwapa wanafuzi walimu au mtu yeyote yule. Zina mafundisho na ni znuri sana
  Download hizi video then ziburn kwenye DVD then wape zawadi. uwapendao.

  Binafsi hii ndio zawadi yangu ya valentine kwa wana JF specific kwa wale wa jukwaa la Teknolojia na elimu .Kuwapa link ya kupakua


  1. The Planet- BBC Documentary - The Planets (download torrent) - TPB
  Its provide very good knowledge about the solar system. Suitable kwa wanafunzi na watu wanapenda kujua na kupata knowledge ya Geography na Astronomy


  2. Human Planet
  Ziko nyingi sana series hizi zinaeleza maisha ya viumbe na watu sehemu mbali mbali za dunia . Suitable kwa watu wa aina zote

  a. Life in the artics Human.Planet.S01E03.HDTV.XviD-BARGE (download torrent) - TPB

  b. Life in the rainforests Human.Planet.S01E04.HDTV.XviD-BARGE (download torrent) - TPB

  c. Life in the deserts Human.Planet.S01E02.HDTV.XviD-FTP (download torrent) - TPB  3. Physics
  Zawadi hii ni nzuri kwa wanafunzi na walimu wa Physics O level
  The Pirate Bay - The world's most resilient bittorrent site


  Hiyo video ina topic zaidi ya 24 zikiwemo
  01.Velocity.and.Acceleration.In.One.Dimension.
  02.Equations.of.Motion.In.One.Dimension.
  03.Scalars.and.Vectors1
  04.Projectile.Motion
  05.Newtons.Laws.of.Motion.
  06.Newtons.Laws.of.Motion.With.Friction.avi
  07.Work.
  08.Kinetic.Energy.and.the.Work.Energy.Theorem.
  09.Potential.Energy.and.Energy.Conservation.
  10.Power.
  11.Momentum.

  4.
  Maths Kwa zawadi ya wanafuzni na walimu wanamahesabu nadhnia kuanzia form III nakuendelea.Hii video inaongea Topi mbili tu Probability na Statistcics.
  Math Tutor DVD - Probability and Statistics (download torrent) - TPB


  5. Cartoon – Managascar escpe Kwa watoto na wakubwa wanaopenda cartooon
  Madagascar-Escape.2.Africa[2008]DvDrip-aXXo (download torrent) - TPB


  I like piratebay.

  Karibu kuchangia kukosoa na kuongeza ni zawadi gani za ki -ICT waweza kuwapa watu kwenye hii siku inayozuzua watu wengi.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yes wadau wa ICT lets help kwa njia tunayozoweza kufanya ICT ifukie mashimo ya mapungufu ya elimu yetu.

  Tusaidiane kuwaelemisha wahusika( walimu, wanafunzi, wazazi) na kuwafahamisha wengine juu ya fursa za ICT zinazoweza kufukia mashimo ya mapungufu ya elimu yetu

  Kwanini tanzania kuna library nyingi za kuuza movie za kina kanumba, Rambo, denzel washington lakini hakuna library unayoweza kupata movie za Probability, Statistics, laws of Motion , matter and chemical equations?


  • Je wakati wanafunzi wanalalamika hawana walimu wazuri wa hesabu wanajua auwameabiwa wanaweza kutumia gharama ndogo kuapata video za subject mbali mbali.

  • Je walimu nao wanajua wanaweza kujifunza mbinu wanazotumia walimu wenzao kufundisha topic ngumu na wanafunzi kuelewa
  Je wana ICT wa Jf tufanye nini.?

  Napendekeza tuchague kama 10 hivi za sekondary tu compile DVD ya soma moja la sayansi tuwatumie. ukizaa matunda hivyo hivyo tunajitolea muda na vijisenti vichache. This is another project

  Huu unaweza kuwa machango wa wana jf wa teknolojia kwa elimu na wnafunzi wa Tanzania.
   
 3. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Mkuu nina first born wangu yupo form II na sikuwahi kuwaza hicho kitu cha topics kwenye dvds. thanks kwa kunifahamisha.
  na vile vile hizo post hapo juu ni nzuri sana kwa wote waalimu,wanafunzi na wazazi. Thx alot mtazamaji
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yah unajua ICT hatujaitumia ipasavyo. Mfano mimi sielewi sasa hivi wanafunzi bado wanajifunza prcatical kwa kusoma badala ya kuona trough video nini kinafanyika . Hatakama shulehazina maabara na vifaa je kuwaonyesha DVD wanafunzi pia inashindikana

  Sasa Calvin power na member wengine mnaonaje tufanye kitu cha maana kama wana jf wa teknolojia. ukikamilisha kudowload hiyo na kumpa zawadi mwanao then twende mbali zaidi tutoe zawadi hizi kwa shule chache kama majaribio.

  So napendekeza wewe calvin power uwe mwakilishi na kiongozi wa hii project.

  • Tuchague shule chache kama tatu au tano za sekondary tutakazotumia kama mfano
  • Tuchague masomo au topic ambazo wanafunzi zinawasumbu kuelewa au hata za kawaida. Unaweza kumuulliza mwanao
  • Tutafute video husika kwenye mtandao

  We can improve performance ya wanafunzi wengi sana through ICT.

  Nawasilisha
   
 5. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Good Idea. kwakuwa umenifumbua akili ngoja niperuzi learning thru dvd/cd according to topics, halafu we will act on that.
   
 6. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Safi huyo jamaa Michael sandelll huwa nimenagalia na nimedowload baadhi ya video zake za philospy. Ni nzuri sana. Kuna moja niliona anaongelea the morality of murder.

  lakini ugumu au challenge tuliyonayo sio mimi na wewe tu. Kuangalia hizi mimi na wewe ni jambo la kuclick tu .

  Sasa wanafunzi hata wa vyuo kuangalia video mfano ya 1 hr kwenye net sizani kama wengi wana uwezo huo. Solution hapa ni ni kuwawekea kwenye DVD ambazo wanaweza kutumia kuangalia hata wakiwa offline( Kwa wanfuzi wa chuo wenye laptop) au kwenye TV.( (kwa wanfuziwa sekondari na vyuo wenye DVD player majumbani)


  NB


  Aksante sana kwa link naona kuna nondo na zawadi nzuri ya hii link

  Hapa naangalia video ya introduction to programming ya stanford univeristy. Proffesor anawaambia wanafuzi wasimuite prof xx wala wasimuite mr xx. Anataka wamuite jina XX tu. Mhhh hapa naona tofauti na maprpf wetu. anajenga urafiki na ukaribu zaidi. na wanafunzi.
   
Loading...