valentine day jamani....

ifunge majogajo kwenye gift paper vizuri, ukamkabidhi kabla hujampelekea magonjwa.
 
mtoe out,wengi hatuna makuu...kitimoto na biereee siku inakuwa nzuri
 
ni mnunulie nini mpenzi wangu kama zawadi ya valentine day?

this valentine ucfanye k2 chochte for your gud.. Zpo chache za dizain hii
14-02-12 = 0. valntn date.!!
ukfanya chochote itakua nathng hyo ela bora upake rang kigheto chako
 
Yaani mpaka sasa hivi hujui umnunulie/umfanyie nini la'aziz wako siku ya valentine?? Hata idea ya kitu kizuri kwake huna? You are not serious aisee.....
 
mi mbona siwazii valentine jaman nina matatizo au.....mnunulie beseni la maandazi
:biggrin:
 
hizi siku si zifutwe tu?full matumbo joto.my ex mshua wake alifariki on valentine day so for the past 5 yrs tulikuwa hutusherekei valentine day.kimbembe ni kwamba saa hizi nina mwengine,mi nimemnunulia mkufu na hereni na nitamtoa out ya kishkaji kesho coz siku ya tukio ntakuwa mbali kikazi, asiporidhika achape lapa.
we fanya kile ambacho kipo ndani ya uwezo wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom