Naona dalili za kheri hizooooo zaja!sina wacwac na 7 5 mm coz ninauhakika amemaanisha!Nawatakieni kila la kheri ili mfikie malengo! ULIMI UMETUMIKA VIZURI NA HAYO NDIO MATUNDA YAKE.
Naona dalili za kheri hizooooo zaja!sina wacwac na 7 5 mm coz ninauhakika amemaanisha!Nawatakieni kila la kheri ili mfikie malengo! ULIMI UMETUMIKA VIZURI NA HAYO NDIO MATUNDA YAKE.
ni kweli ndg yale maneno unayoyaongea sku zote ndio hutoa picha ya kile kilichomoyon sku zote.
Nmegundua ni mtu anayejitambua,na anaitambua hali ya maisha yanaendaje?
Nimeanza mda mrefu sana kumsoma huyu dada hajawahi kuwa na majibu ya kuudhi na ni mtulivu wakat wa hatari. Vaislay nmekupenda sana nahitaji uwe mke wangu. Tafadhari sana npo serious na hili