Vaislay unahtajika mrejesho


Eeh! ona sasa mwanaume umeanza kutokwa na povu jingi.

Misamaha kibaooooo!

Punguza shobo mkuu unafikiri kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi, hawa mabinti wa hapa ni vinyonga leo atakuchekea kesho anakugeukia.

Lazima uwe na mipaka yako kama mwanaume ili kujenga heshima popote pale unapokuwa.

Aibu ulioipata hapa jukwaani haitafutika.

Nirahisi sana kuivunja heshima kuliko kuirudisha, kuna wakati hakuna haja ya kujenga mazoea sana au utani hapa jukwaani. KUNAWENGINE WAPO KAZINI HAPA UTALAMBISHWA KEKUNDU.
 
nimeshakuambia UKOME na USINIZOEE

Mmmh, mbona lugha kali hivyo, mi nadhani he is not that much serious, ni kama anatumbuiza jukwaani tu au.!?!?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

umeongea point sana mkuu lakn nmeomba msamaha kwasababu spendi kumkwaza mtu.
Ila nmejifunza vitu vngi sana kwa hii thread. .
Ni kweli kabisa mazoea na mtu usiye mjua ni hatar sana
 
Mmh mtoa mada umekuwa kama kifaranga kilichonyeshewa mvua. Pole lakini ! Ila mi nilijua its like jokes,pole kijana.

ni kweli ilikuwa jokes lakn hata mm nmeshangaa sana matusi jinsi yalivyokuja.
 
sitaki utani, sitaki thread, sitaki mention kuanzia leo hii...
NADHANI UMENIELEWA

Wewe na mleta mada akili zenu zinafanana sana kwa ukaribu iweje leo unamruka?

Siku ya kwanza alipoanzisha ule uzi ulikenua meno huku ukisema maneno haya
naogopa mahusio ya kwenye mitandao ila ntakuwa mkeo hapa jf tu na sio vingne zaidi
Leo kaanzisha tena uzi kwa mfumo uleule wa mwanzo unajifanya kukwazika, acheni unafiki nyie viumbe.!
 

Kweli aisee, kuna haja ya kupunguza utani kwenye baadhi ya mambo, juzi tu baby ameng'amua ID yangu ya jf, daaah ni shidaaa, ndoa shakani...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Last edited by a moderator:
umeongea point sana mkuu lakn nmeomba msamaha kwasababu spendi kumkwaza mtu.
Ila nmejifunza vitu vngi sana kwa hii thread. .
Ni kweli kabisa mazoea na mtu usiye mjua ni hatar sana

Tafakari chukua hatua, usiamini kila unachokiona kuna mingine humu ni midume inatumia majina ya kike.

Unaweza kukuta hata huyu Vaislay ni dume ila linakupimia tu unavyojichoresha.!
 
Kweli aisee, kuna haja ya kupunguza utani kwenye baadhi ya mambo, juzi tu baby ameng'amua ID yangu ya jf, daaah ni shidaaa, ndoa shakani...


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Bottom point....creating Limits ni jambo la msingi sana......katika maisha kwa ujumla wake.....Humu JF wakati mwingine unaweza ukawa hauchat na watu.....wengine wanaweza tu kuwa viumbe....Kwa hio kutunza nidhamu yako...kujiheshimu na kutunza mipaka ni muhimu........ukiona kuna watu wanaitana kimahaba...na wewe usikimbilie kuanza kuita watu wengine....hujui wametoka wapi hadi wanaitana hivyo......
 
katia huruma si kidogo yani hadi sasa namhurumia kwa alivotukanwa kama mtoto mdogo lakin pole ndo maisha anatakiwa azijue pia roles za social networks in deep

Aisee ningemfariji ila tatizo ni Asprin
 
Last edited by a moderator:
Well said...lesson learned..!!!



Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
mhhhh kila la kheri mkikorofishana usikose kumwaga mchele hapa pia
 
Mmh mtoa mada umekuwa kama kifaranga kilichonyeshewa mvua. Pole lakini ! Ila mi nilijua its like jokes,pole kijana.

Nini sasa what happened babygirl?(na mimi nataka uniloweshe mvua)!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…