Vaislay unahtajika mrejesho

id mpya at work


YA NINI????????????? Makomana==== @75 mm ya nini kutumia ID mbili ??
 
Last edited by a moderator:
mimi naomba kuwa mweka hazina.... na kwenye kamati ya maandalize niwe upande wa vinywaji vikali 7 5 mm muhimu sana hili usikosee
 
mbona wanawake wakali baadae mnalalamika oo hatuolewi mnatuchezea sasa mwenzenu kapata bahati mnambania kama kaolewa ni vema aweke wazi kuliko kumuaibisha mwanaume mwenzangu teh teh mkuu @75 mm kama anazingua achana nae wanawake wapo wengi kuliko wanaume teh teh hakuna kubembelezana
 
Jana mimi niliuliza haya mambo ya watu kuitana sijui mke sijui mume yana mantiki yoyote au watu wanakurupuka tu...kwanza mimi binafsi kuthubutu tu kumwita mtu mke from nowhere siwezi......mke or mume is a serious matter.....Sasa JF siku hizi imekua chat room....watu wanatunga tunga tu vihadithi vyaoooooo...kama huyu mtoa mada nadhani hajawa mstaarabu vya kutosha.
 
id mpya at work


YA NINI????????????? Makomana==== @75 mm ya nini kutumia ID mbili ??

aliona ile kavurunda bora aje kujiosha na hii...kumbe na hii kajipakaza kinyesiii...

hoooovyooo....akajipange...
 
Last edited by a moderator:
ulimpa number mwenyewe acha kujishaua hapa

kwel mama,ikawa kosa!!.yaan...sina hamu nae,maana hadi matusi nilimtukana lakini wapi,nikamwambia sikutaki,sura yenyewe nzuto mzigo hela huna nikupeleke wapi mie,lakn wapi!!,eeh
 

naomba usigeneralise watu, mimi na my lara 1 tuko for really hatuna cha kupretend. hupendi saga chupa ubwie mezea na kiroba.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Vaislay kwa kupata mume! At last single mamies wanaolewa wanatuacha tusiozaa!
Kaka mtunze binti eee! usione vinang'aa vimetunzwa!
 
aliona ile kavurunda bora aje kujiosha na hii...kumbe na hii kajipakaza kinyesiii...

hoooovyooo....akajipange...

Heee makubwa! Kumbe katangaza bila ridhaa yako! Basi nabatilisha hiyo post hapo juu! lol!
 
na ndo maana namwabia anachokiandika pm aandike hapa

Take easy Vaislay....Watu wanatofautiana...tabia ziko tofauti......Ripoti huu uzi kwa mods utafungwa na utaondolewa hapa....hata kama ingekuwa ni chit chat ingepaswa mtoa mada awasiliane na wewe kabla ya kuanzisha thread....Pole but 7 5 mm nadhani kuna kitu umejifunza hapa...JF is a public forum kama una interest yako kwa individual flan jaribu kwenda nayo kistaarabu...dont put it this way...hapa JF kuna wengine ni wanandoa...na wanajuana kwa ID zao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…