Vaginal ordour

Vaginal ordour

Mkuu kama harufu ya mwanamke sio lazima iwe uchafu. Kumbuka ya kwamba wanawake tuna maji ya uke ambayo yapo tu hapo . Kila dakika ambayo ni kawaida "Normal discharge" ambayo huwa ni clear, cloudy white, and/or yellowish ikiwa imekauka kwenye chupi.

Kama hayo maji ya uke hayapo hapo kuna tatizo lingine "Vaginal dryness"

Hayo maji maji ya uke huwa yanabeba "healthy bacteria" wakati mwingine hao bacteria hawako mbalance. Bacteria vaginosis (BV) huwa kunakiwa na harufu kali Kama ya samaki kwenye vagina.

Na hii huwatokea wanawake wengi Sana SIO STD na haihusiana na magonjwa yeyote ya zinaa.
Maana hata mwanamke ambae hana magonjwa ya zinaa na pia hajawahi kufanya mapenzi hii inawatokea.

Ndio maana nimekwambia hapo mwazo sio lazima iwe uchufu maana hata uJisafishe harufu haiondoki yote. Ni kuona tu Dr na kupewa dawa ambayo inasaidia kurudisha hao bacteria kwenye hali ambayo wanatakiwa wawepo.

Vitu kama sabuni za marashi, chupi ambazo Si za pamba, unhealthy food, alcohol, ect vinasababisha hao bacteria kutokua balance.

Na vitu kama kutumia baby wipes instead of toilet paper kunywa cranberry juice, which is a natural antibacterial, kutokuvaa chupi au vaa cotton panties, ku avoid panty hose and tight jeans, kula healthy vegetable-based diet etc vinasaidia mno kuepuka hili tatizo.

Asante
Mmmh
 
Hilo ni miongoni mwa matatizo yawapatao wazinzi,kwa mkeo uwezi yaona hayo au inakuwa rahisi kumrekebisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom