V12 power amplifier

Habari mkuu zakayohabel.
Njia rahisi ni kuunda Voltage Inverter ambayo ita.boost 12VDC kuwa 40VAC, na una-rectify kuwa either ya single voltage(40V) au dual voltage(+-40V), kutegemea utakavyosuka transformer yako, mchezo unaisha.
Nakutakia kila la heri katika jitihada zako za ubunifu.
 
Kifupi ni kwamba kanuni ya nishati itasimamia huo mchakato (Law of conservation of energy) lazima izingatiwe..

Ili kupata power kubwa kutoka kwenye 12V basi utahitaji kuwa na Current kubwa sana mfano 20Ampere , ili jumla ya power ya umeme wako iwe takriban 240W. Ili uweze kupata amplifier itakayotoa Watts takriban 200W.

...

Utahitaji kuwa na step up circuit ya kubadilisha hiyo 12V, 20A kuwa arround 40V na current itashuka hadi 5A. Yote hayo utayafanya kwa kutumia transformer chocheo. (Ukipandisha Voltage, current inapungua).

Halafu sasa hizo 40V ndio zitalisha Amplifaya yako kama input power.
 
Ok MKuu asante sana pia je ni ic ipi bora kutumia katka pre amp mkuu
 
Asante sana mkuu .....je MKuu huo mchoro wa kubadili dc12v kua ac40v ntaupataje MKuu na vip nikifanikiwa kwa njia hio haitakua kero katika kunyonya betrii sana
 
Umewahi sikia mziki wa gari,, ushawah wonder why magari yana mziki mkubwa sana kuliko wa majumbani na vi pub mchwara? Je zinatumia nn unavosema zitakuwa na mziki mdogo haya current inapungua at higher volt but maths is the same 20v times 2A is equal to 40w and 10v times 4A is equal to 40w ..umeona sasa ....

Magari amp zake zina dc to dc conveter inayobadili 12vdc to dual rail volt kulingana na mtengenezaji anavotaka .. baadhi naona 35 0 35 5A ...sasa hiyo unaona ni kidogo?

We sema hauna hiyo saket tu
 
kuna mchoro rahisi wa capacitor na diode hata ukitaka volt 100 dc toka kwenye 12Ac inawezekana
 

mkuu jaribu huo mchoro

Kama hautafanya kazi jaribu kuweka kiungo kwenye hizo points * na *

Pia Capacitor tumia kuanzia Volt 18 Micro farad 100 na kuendelea
 
Mzee hujaelewa tunachokiongelea ....huu mchoro si wa power supply ya kawaida kabisa

Kaka wewe ndio hunielewi. Jaribu huo mchoro unaingiza 12 unatoa 24 na unavyozidi kuongeza capacitor na diode unaongeza volt

Mm nimewahi kuwasha Amp ya 48v kwa kutumia transformer ya 12 V kwa njia hiyo enzi hizo nafanya hizo kazi back in 2010 kurudi nyuma
 
Nan kasema?? Kwan hamna itakuwa na uwezo mdogo unaeza boost 12vdc to 50v dual or more na uwezo ukawa 1000w sasa tu assume tumetumia mosfet mbili tu irfz44n hapo zinaeza toa 180w bila tatizo lolote sasa hizo ni kidogo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…