Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,238
- 12,751
Kuna huu uzushi kuwa Rais wa zamani wa Malawi aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa ili asije tembea na Malkia na wakazaa. Eti ndiyo kisa alikufa bila mtoto.
Huu uzushi ulienezwa na nani?
Magu uongo amezidi. Na hivi wananchi wake wengi ni vilaza basi ndio anazidi kuwaongopea.Nchi ambako kiongozi mkuu ni mwongo wa wazi Unategemea vijiweni kuweje mkuu?
Na ndo iko Ivo mileleHadi leo hii nilikuwa naamini hivyo!!
Mkuu kipindi kile mataifa yetu ya Kiafrika yalipokuwa katika vuguvugu la kujitawala kulikuwa na euphoria na rumours zilikuwa nyingi.Kuna huu uzushi kuwa Rais wa zamani wa Malawi aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa ili asije tembea na Malkia na wakazaa. Eti ndiyo kisa alikufa bila mtoto.
Huu uzushi ulienezwa na nani?
Hapo nakupata, Jamaa waliongoza harakati za uhuru walikuwa wanaaminisha watu wao ni kama demigods. Jamaa kweli alikuwa daktari na amepractice huko uingereza. Pengine walikuza/alikuza kuwa alimtibu malkia ili aonekane babkubwa.Mkuu kipindi kile mataifa yetu ya kiafrika yalipokuwa katika vuguvugu la kujitawala kulikuwa na euphoria na rumours zilikuwa nyingi
Tuliambiwa fimbo ya Baba wa Taifa ilikuwa na uwezo wa ajabu akiiweka Chini hakuna mtu anayeweza kuinyanyuaHapo nakupata, Jamaa waliongoza harakati za uhuru walikuwa wanaaminisha watu wao ni kama demigods. Jamaa kweli alikuwa daktari na amepractice huko uingereza. Pengine walikuza/alikuza kuwa alimtibu malkia ili aonekane babkubwa.
Manyendi huyo!!Kuna huu uzushi kuwa Rais wa zamani wa Malawi aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa ili asije tembea na Malkia na wakazaa. Eti ndiyo kisa alikufa bila mtoto.
Huu uzushi ulienezwa na nani?
Ilibebwa na cranes tatu za tani miatano miatanoTuliambiwa fimbo ya Baba wa Taifa ilikuwa na uwezo wa ajabu akiiweka Chini hakuna mtu anayeweza kuinyanyua
Sasa sijui kama ilikuwa ni kweli kwasababu alipoaga Dunia tulikuwa tukiambiana kuwa nani atakaeweza kuitoa fimbo ya Taifa Uingereza
Kuna huu uzushi kuwa Rais wa zamani wa Malawi aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa ili asije tembea na Malkia na wakazaa. Eti ndiyo kisa alikufa bila mtoto.
Huu uzushi ulienezwa na nani?
Hakuna kitu kibaya kama kuchukiwa na mswahili, yani linaulizwa swali kumuhusu Kamuzu Banda majibu yanakuja kwamba Magufuli ni muongo sana