Uzuri

Sio kweli.Mbona mimi ni mzuri sana tena sana halafu sijajikirimu.Hebu nicheki hapo kwenye avatar yangu.
 
Haya ni mapozi tu ya danganya toto, twende kwenye ukweli zaidi.
 
Sio kweli.Mbona mimi ni mzuri sana tena sana halafu sijajikirimu.Hebu nicheki hapo kwenye avatar yangu.
Pamoja na kwamba unajikampenia, lakin kwa hiyo avatar best, u mrembo sana, na inapendeza mtu anapokuwa the way alivyo naturall!
U r very biutifuuu!
 
Pamoja na kwamba unajikampenia, lakin kwa hiyo avatar best, u mrembo sana, na inapendeza mtu anapokuwa the way alivyo naturall!
U r very biutifuuu!

Senki yu veri much.Iam very proud of being a nachuro Real African woman.Iam very confident and happy with the way Iam.
 
Kama mabinti wote wangekuwa hvyo ingekua poa, but 2 day, wizi mtupu, mkorogo umekisili.
 
@Charity kwa kweli hiyo avatar ulijipatia sana.....yaani na hii style yako ya nywele siku hizi, thats you for sure

'u mrembo, ngoja tukupige picha'

hahaaaa Paka Jimmy brodah!!!
 
umaskini wa akili tu ndio unatusumbua
madhara tunaambiwa kila siku lakini bado tunajichuna ngozi...

Afu hata wanaume wa kibongo siku hzi mko mbele sana kutumia mikorogo ya mafuta ya transfoma
 
@Charity kwa kweli hiyo avatar ulijipatia sana.....yaani na hii style yako ya nywele siku hizi, thats you for sure

'u mrembo, ngoja tukupige picha'

hahaaaa Paka Jimmy brodah!!!
hahahahaa. senks my dia.Lakini sijui ni pepo????????? eti najisikiasikia niweke nywele kama za Beyonce na mimi niwe mdhungu ,lakini kujikirimu hapana ntaendelea kupaka siagi ya ng'ombe.
 
umaskini wa akili tu ndio unatusumbua
madhara tunaambiwa kila siku lakini bado tunajichuna ngozi...

Afu hata wanaume wa kibongo siku hzi mko mbele sana kutumia mikorogo ya mafuta ya transfoma

Yani mwka huu itabidi kuwe na mkutano wa Beijing wa wanaume.Maana wanakuja juu,mipasho,taarabu,kujichubua............yote wenyewe,wanawapiku wanawake.
 
umaskini wa akili tu ndio unatusumbua
madhara tunaambiwa kila siku lakini bado tunajichuna ngozi...

Afu hata wanaume wa kibongo siku hzi mko mbele sana kutumia mikorogo ya mafuta ya transfoma

atleast nimecheka, kuna yule mwanamziki cjui wa ngwasuma yule mkaka ananitiaga kinya jamani.
 
Hivi itafikia siku watanzania tutaukubari weusi wetu na maumbile yetu?
 
umaskini wa akili tu ndio unatusumbua
madhara tunaambiwa kila siku lakini bado tunajichuna ngozi...

Afu hata wanaume wa kibongo siku hzi mko mbele sana kutumia mikorogo ya mafuta ya transfoma
hahaahahahah hujakosea mwanawane! umeshindilia humo humo! Mambo vipi lakini?
 
Inakera sana tena sana , wenyewe wanaita kung'aa, utasikia mwanamke anamsifia mwenzie eti UMENG'AA, NI KRIMU GANI UNATUMIA?. hapo akiambiwa ataenda nunua hiyo ya huyo mwenzie anayotumia ya kwake ataacha kutumia, so ni vurugu mechi tupu hapo. Napenda sana mwanamke natural jamani
 
Kiukweli hata wanaume wameanza kujikoroga, ila nawaonea imani wanawake, unamkuta mwanamke kapasukapasuka mikono coz of cream, be natural utapendwa tu.
 
atleast nimecheka, kuna yule mwanamziki cjui wa ngwasuma yule mkaka ananitiaga kinya jamani.

Dearest, cheka tu maana kila kukicha bora jana, leo mambo ya mbayuwayu ndo hivo...
tena hao wa 'ngwasuma' (wote mi nawaita ngwasuma tu hata fm akademia sijui) ndo wenyewe....kama mapapai vile

hahaahahahah hujakosea mwanawane! umeshindilia humo humo! Mambo vipi lakini?

mambo gani unaulizia?? leo utapokea wgonjwa wengi tu ICU we subiri
 
Kuukubali weusi wetu itakuwa ngumu, kwani hata baba yuko mstari wa mbele kumnunulia mkewe cream ili akolezee!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom