MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Nauliza tu.
Wala sio kwa ubaya wanakaya.
Inakuaje mwanaume unayejiita rijali mbavu nene na unakaa.kijiweni unakojoza watoto wazuri.
[emoji26]ila unashindwa kabisa kumuhudumia mrembo wako au mwanamke MZURI SANA kama mimi.
Jamani mapenzi ni gharama sana,sifa ya mwanamke mzuri kupendeza na uzuri gharama.
Nikikutajia bei ya mafuta ninayotumia zaidi ya matano.mafuta ya nywele,ngozi [emoji6]bado kusuka kucha sijavaa kagauni kazuri .
Sijaongelea out.
Sijaongelea simu uninunulie.
Mwanaume unashindwa kuninulia bra hata chupi ya elfu 40 mlimani city.
Naomba nisamarize WANAUME EBU MJITAHIDI KUTUHUDUMIA.
KAMA HAMTUWEZI MTUACHE JAMANI.
usiku mwema wapenzi.
Nawapenda.