elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,461
Nimependa comment yako. Uzuri wa sura na umbo ni vitu vya nje, lakini utamu ni wa ndani.Kwa hiyo huu Uzi umeamua kumchamba makamoo sio?
Shida sio uzuri shida utamuu, uzuri hauliwi.
Ila jamani kuna wanawake watamu, yaani ukimuangalia shape just ordinary looking... Unasema daah leo ngoja nipige one night stand, but ile kugusa hata kama ilikuwa wewe ni wa goli moja, mbili unashangaa mpaka mnaachana asubuhi umegonga round nne wacha kabisa... Hii kitu haina formula, long time niliwahi kufukuzia demu for six months, na kwa aluvyokuwa mzuri na high class nilipata baada ya kuwa nakodi gari ya jamaa ili asinione kapuku.Kwa hiyo huu Uzi umeamua kumchamba makamoo sio?
Shida sio uzuri shida utamuu, uzuri hauliwi.
Wanaume wenye akili kichwani hawaoi Mwanamke kwa kigezo cha sura nzuri au umbo zuri
Wenye akili wanaoa Mwanamke wanayelewana naye kwa dhati kutoka moyoni bila ya kujali uzuri wa sura au umbo.
Ukimpata Mwanamke mnayeelewana kwa dhati na akiwa pia ni mzuri wa umbo na sura hiyo ni advantage tu.
Lakini kigezo muhimu sana katika kuchagua Mke kiwe ni "maelewano" na "muunganiko" kati yenu. (chemistry, compatibility and mutual understanding between the two of you)
Pole sana. Kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Kwa taarifa yako tu huenda huna uzoefu na hawa wanawake na labda ndio uko kwenye adolescence age. Uzuri wa mwanamke uko kwenye mambo au viungo ambavyo havionekani kwa macho na vile ambavyo vinaonekana basi amevificha mbali sana anamuonyesha anayempenda tu. Sasa wewe kaa hapo angalia hilo umbo na hiyo sura na ubaki hapo hapo.Wanaume wenye akili kichwani hawaoi Mwanamke kwa kigezo cha sura nzuri au umbo zuri
Wenye akili wanaoa Mwanamke wanayelewana naye kwa dhati kutoka moyoni bila ya kujali uzuri wa sura au umbo.
Ukimpata Mwanamke mnayeelewana kwa dhati na akiwa pia ni mzuri wa umbo na sura hiyo ni advantage tu.
Lakini kigezo muhimu sana katika kuchagua Mke kiwe ni "maelewano" na "muunganiko" kati yenu. (chemistry, compatibility and mutual understanding between the two of you)
Huyu yuko kundi gani, la wazuri au la wabaya?
Tatizo hawana uvumilivu
Dah!! Huyo mjomba wako ni noma sana, aliwezaje kuishi na mtu asiyempenda kwa miaka zaidi ya 30??.Mtoa mada umeongea point, ila nikwambie kitu kimoja, baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wabaya, sio kwamba wanapenda, ila hao ndio wanawake wanaoweza kuwapata, sasa kama wakitongoza wanawake wazuri wanakataliwa, hao wanaume wanakua hawana choice.
Mara nyingi mwanaume Ukioa mwanamke mzuri, bhas inabidi ukubali kupendewa hela, maana huyo mdada mzuri kiuhalisia anakua hakutaki
Nina mjomba wangu mmoja, mtu mzima sana, yuko kwenye ndoa miaka 30+ alikiri mbele yangu akisema mkewe sio mzuri, ila alimuoa mkewe kwasababu huyo mwanamke alikuwa na mapenzi ya kweli elishaezekiel