Uzuri wa sura na umbo la Mwanamke Muhimu kwenye mahusiano

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,458
Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye...

Tena nawashauri vijana, weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani...

Ina maana gani kuwa na pesa plus an ugly woman ndani... Raise standards kwenye appearances za wanawake unaodate...

Kuna watu kwa Kweli wanatia huruma, wana kila kitu, maisha mazuri. Kazi nzuri, Gari nzuri, nyumba nzuri, kijana ana look nzuri ila linapokuja swala la kuchagua inakua kama wamelogwa, ana mwanamke sijui kamtoa wapi..
Maslahi yake anayakanyaga kabisa.

Elevate your taste... hustle... get money....buy yourself good things...get yourself cute women... namaanisha beautiful women... achana na ugly women wakajifie huko ... mwanamke hawezi kumuangalia mwanamme mbaya marambili...

Kuna harusi ilifanyika juzi juzi hapa kati ya a tall girl and a short man hope all munaijua... look closely at the girl... she was not happy cause alienda against a lot of women standards...

Achana na wanawake ugly eti kisa akili au ucha Mungu.. nani kakwambia!! Hizo ni psychological compensations tuu... kucover up defects kwenye look...

Ningewashauri wanaume wawaige wanawake kwenye kuchagua... Women always go for the best man in the group...
Wanaume sasa... huruma.

Kingine mwanamke unaweza ukamshape kama upo matured kichwani... ukambadilishia kabisa mtazamo wa maisha ukabaki unajimegea tunda lako safi na akakuona the one and only...her King.

Another point
Pick beautiful women ambao ndo wanamaliza legal age limits... ukijipenda utakwepa usumbufu wa mapolisi... maisha yako ni mali...

Especially hawa wanaonaliza form four na kupitiliza diploma au wale wanaoingia chuoni...

Usidate mwanamke 25 and above... au single mom... no love there... girls... go for young adult women... beautiful girls... 18-24

Kuna jamaa alikuwa waziri wa fedha na sasa ni mtu mkubwa tu ... sijui ni raia namba ngapi hivi... very bright... economist mzuri kabisa ila His choice daa!!!

Kuna people za kawaida tuu ila they are enjoying...
Elevate your Taste... Sharpen your taste... via intercourses tutawasidia wengi
 
Wanaume wenye akili kichwani hawaoi Mwanamke kwa kigezo cha sura nzuri au umbo zuri

Wenye akili wanaoa Mwanamke wanayelewana naye kwa dhati kutoka moyoni bila ya kujali uzuri wa sura au umbo.

Ukimpata Mwanamke mnayeelewana kwa dhati na akiwa pia ni mzuri wa umbo na sura hiyo ni advantage tu.

Lakini kigezo muhimu sana katika kuchagua Mke kiwe ni "maelewano" na "muunganiko" kati yenu. (chemistry, compatibility and mutual understanding between the two of you)
 
Mtoa mada umeongea point, ila nikwambie kitu kimoja, baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wabaya, sio kwamba wanapenda, ila hao ndio wanawake wanaoweza kuwapata, sasa kama wakitongoza wanawake wazuri wanakataliwa, hao wanaume wanakua hawana choice.

Mara nyingi mwanaume Ukioa mwanamke mzuri, bhas inabidi ukubali kupendewa hela, maana huyo mdada mzuri kiuhalisia anakua hakutaki

Nina mjomba wangu mmoja, mtu mzima sana, yuko kwenye ndoa miaka 30+ alikiri mbele yangu akisema mkewe sio mzuri, ila alimuoa mkewe kwasababu huyo mwanamke alikuwa na mapenzi ya kweli elishaezekiel
 
Kwa nini unasema tusi date wanawake walio 25 or above?
Ngoja nikuambie kitu wanawake katika umri wa miaka hio 18,19...., huwa wanaangalia zaidi muonekano kwa mwanamume, mfano utakuta vibinti vingi vina penda ujana sana, vinapenda masharobaro wenye mlegezo, crazy jeans na nywele zina rangi.

Lakini hapo kwenye 23-30 huwa wamekomaa kiakili na huwa wanajua namna ya kujua husband material, mwanaume mwenye future ambae yupo tayari kujenga familia na anayejiheshimu.

Kwa hio sioni ubaya ku date mwanamke ana 25 yrs au 30 na ikiwezekana kuoa.
Hamjaona yule dada anatembea mtaa hadi mtaa akitafuta mume? halafu wanawake at 30 hapo huwa wana stress sana kama hawajaolewa, tunasema wame hit wall, wapo nje ya soko au ushindani ni mkubwa dhidi ya wale chipukizi, ni katika hiki kipindi unakuta mwanamke kama alikukatalia kipindi mpo chuo anaanza kukutafuta umuoe kabisa.
 
Kwa hiyo huu Uzi umeamua kumchamba makamoo sio?
Shida sio uzuri shida utamuu, uzuri hauliwi.
Ila jamani kuna wanawake watamu, yaani ukimuangalia shape just ordinary looking... Unasema daah leo ngoja nipige one night stand, but ile kugusa hata kama ilikuwa wewe ni wa goli moja, mbili unashangaa mpaka mnaachana asubuhi umegonga round nne wacha kabisa... Hii kitu haina formula, long time niliwahi kufukuzia demu for six months, na kwa aluvyokuwa mzuri na high class nilipata baada ya kuwa nakodi gari ya jamaa ili asinione kapuku.

Eventually nikampata bwanaaa, kwenye gemu sasa yaani ana shimo au sijui niseme kisima kabisa balaa, halafu hana feelings kabisa,jaribu kila style ya kumpagawisha ndiyo kwanza huko sehemu kukavuuu na kuna smell mbayaa... Mpaka stimu zilikata gemu hatukuendelea tukaenda mziki na mitungi kwa sanaa nikamrudusha kwao...
 
Wanaume wenye akili kichwani hawaoi Mwanamke kwa kigezo cha sura nzuri au umbo zuri

Wenye akili wanaoa Mwanamke wanayelewana naye kwa dhati kutoka moyoni bila ya kujali uzuri wa sura au umbo.

Ukimpata Mwanamke mnayeelewana kwa dhati na akiwa pia ni mzuri wa umbo na sura hiyo ni advantage tu.

Lakini kigezo muhimu sana katika kuchagua Mke kiwe ni "maelewano" na "muunganiko" kati yenu. (chemistry, compatibility and mutual understanding between the two of you)
 
2933923_rwandan.beauty-20210919-0001.jpeg
 
Pole sana. Kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Kwa taarifa yako tu huenda huna uzoefu na hawa wanawake na labda ndio uko kwenye adolescence age. Uzuri wa mwanamke uko kwenye mambo au viungo ambavyo havionekani kwa macho na vile ambavyo vinaonekana basi amevificha mbali sana anamuonyesha anayempenda tu. Sasa wewe kaa hapo angalia hilo umbo na hiyo sura na ubaki hapo hapo.
 
Ungekuwa upo sahihi then maisha yangekuwa namna unavyosema. Ngoja muda wa kideal na balehe zako uishe then uanze kutafuta maisha utajua akili za mabinti wenye uzuri wa sura na maumbo ya mwili zipoje na kwann wanaotafuta wake huwa hawapendelei hawa wadudu.

Kwa ushauri tu ni kuwa hao ni wa kujifurahishia nafsi tu ila sio kufanya nao maisha wengi vichwani bado wana ubongo ambao upo very primitive na underdeveloped kwa maisha ya kisasa.
 
Mtoa mada umeongea point, ila nikwambie kitu kimoja, baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wabaya, sio kwamba wanapenda, ila hao ndio wanawake wanaoweza kuwapata, sasa kama wakitongoza wanawake wazuri wanakataliwa, hao wanaume wanakua hawana choice.

Mara nyingi mwanaume Ukioa mwanamke mzuri, bhas inabidi ukubali kupendewa hela, maana huyo mdada mzuri kiuhalisia anakua hakutaki

Nina mjomba wangu mmoja, mtu mzima sana, yuko kwenye ndoa miaka 30+ alikiri mbele yangu akisema mkewe sio mzuri, ila alimuoa mkewe kwasababu huyo mwanamke alikuwa na mapenzi ya kweli elishaezekiel
Dah!! Huyo mjomba wako ni noma sana, aliwezaje kuishi na mtu asiyempenda kwa miaka zaidi ya 30??.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom