Uzuri wa sura na umbo la Mwanamke Muhimu kwenye mahusiano

Ila jamani kuna wanawake watamu, yaani ukimuangalia shape just ordinary looking... Unasema daah leo ngoja nipige one night stand, but ile kugusa hata kama ilikuwa wewe ni wa goli moja, mbili unashangaa mpaka mnaachana asubuhi umegonga round nne wacha kabisa... Hii kitu haina formula, long time niliwahi kufukuzia demu for six months, na kwa aluvyokuwa mzuri na high class nilipata baada ya kuwa nakodi gari ya jamaa ili asinione kapuku. Eventually nikampata bwanaaa, kwenye gemu sasa yaani ana shimo au sijui niseme kisima kabisa balaa, halafu hana feelings kabisa,jaribu kila style ya kumpagawisha ndiyo kwanza huko sehemu kukavuuu na kuna smell mbayaa... Mpaka stimu zilikata gemu hatukuendelea tukaenda mziki na mitungi kwa sanaa nikamrudusha kwao...
Duh!!! Kwa hiyo alikuwa na uzuri wa nje tu?!!.
 
Pole sana. Kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Kwa taarifa yako tu huenda huna uzoefu na hawa wanawake na labda ndio uko kwenye adolescence age. Uzuri wa mwanamke uko kwenye mambo au viungo ambavyo havionekani kwa macho na vile ambavyo vinaonekana basi amevificha mbali sana anamuonyesha anayempenda tu. Sasa wewe kaa hapo angalia hilo umbo na hiyo sura na ubaki hapo hapo.
Aisee, nitakualika kwenye mafundisho ya Ndoa na mahusiano kwa vijana inaonekana una madini sana wewe jamaa.
 
Mtoa mada umeongea point, ila nikwambie kitu kimoja, baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wabaya, sio kwamba wanapenda, ila hao ndio wanawake wanaoweza kuwapata, sasa kama wakitongoza wanawake wazuri wanakataliwa, hao wanaume wanakua hawana choice.

Mara nyingi mwanaume Ukioa mwanamke mzuri, bhas inabidi ukubali kupendewa hela, maana huyo mdada mzuri kiuhalisia anakua hakutaki

Nina mjomba wangu mmoja, mtu mzima sana, yuko kwenye ndoa miaka 30+ alikiri mbele yangu akisema mkewe sio mzuri, ila alimuoa mkewe kwasababu huyo mwanamke alikuwa na mapenzi ya kweli elishaezekiel
Jamaa ana point sana, wengi tulikosea kuoa, nyege mara nyingi huishia kuwa na bad choice, mfano mimi kabla sijaoa huyu mke wangu, kuna vitoto vizuri vizuri niliviweka kwenye list ya kuvioa kati yao, bahati mbaya kila moja alikuwa na kasoro...mfano mwanake aliyewahi toa mimba, huyo hana sehemu kwangu..ndo nikaipata hii ngoma yangu ninayoishi nayo na kuzaaa nayo watoto kadhaa, inanihudumia kila kitu
 
Ila jamani kuna wanawake watamu, yaani ukimuangalia shape just ordinary looking... Unasema daah leo ngoja nipige one night stand, but ile kugusa hata kama ilikuwa wewe ni wa goli moja, mbili unashangaa mpaka mnaachana asubuhi umegonga round nne wacha kabisa... Hii kitu haina formula, long time niliwahi kufukuzia demu for six months, na kwa aluvyokuwa mzuri na high class nilipata baada ya kuwa nakodi gari ya jamaa ili asinione kapuku. Eventually nikampata bwanaaa, kwenye gemu sasa yaani ana shimo au sijui niseme kisima kabisa balaa, halafu hana feelings kabisa,jaribu kila style ya kumpagawisha ndiyo kwanza huko sehemu kukavuuu na kuna smell mbayaa... Mpaka stimu zilikata gemu hatukuendelea tukaenda mziki na mitungi kwa sanaa nikamrudusha kwao...
Umeona sasa, mleta mada hajui vitu vizuri, anafikiri demu sura, unaeza kuta sura nzuri na shape ila mashine bovuuu, miharufu nk.
Na kuna mwingine kipori wa kawaida ila ana ice cream tamu balaa...
 
Pole sana. Kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Kwa taarifa yako tu huenda huna uzoefu na hawa wanawake na labda ndio uko kwenye adolescence age. Uzuri wa mwanamke uko kwenye mambo au viungo ambavyo havionekani kwa macho na vile ambavyo vinaonekana basi amevificha mbali sana anamuonyesha anayempenda tu. Sasa wewe kaa hapo angalia hilo umbo na hiyo sura na ubaki hapo hapo.
Naona hujaelewa comment yangu. Rudia kusoma, utaelewa nilichoandika.
 
Huyu kwenye picha lazima atakuwa ni wewe. Au nimekosea? 😁😁😁

By the way, ni makosa makubwa sana kuchagua Mwanamke wa kuoa kwa kutumia kigezo cha sura nzuri au umbo zuri.
Hapana aseee life partner, halafu nichague wa ajabu hapana....😁😁

Nilie nae mzuri hadi kuna mda kakaa zake kwenye Kochi nampiga kijicho cha chini chini nafurahi mwenyewe, yani najiona nimeyapatia haya maisha 😂😂😂
 
Dah!!,Huyo mjomba wako ni noma sana,aliwezaje kuishi na mtu asiyempenda kwa miaka zaidi ya 30??.
Inakuwaje unaishi mpaka unazeeka na huku moyoni mwako ulikuwa unapenda kuwa mfanyabiashara Ila ukaishia kuwa daktari?
Kwani chaguzi ulizokuwa unazitaka ukiwa mdogo kwani ni zote tu ulizipata.

Mie huwa nawashangaa watu ,hapo ulipo unapata kipato ambacho sicho unachopenda,unaishi mahali ambapo sio chaguo lako,ramani ya nyumba yako sio Ile uliyokuwaa unaiwaza, umri ulio nao Kuna vitu bado hujavipata na huku hapo nyuma ulidai kuwa ukifika tayari utakuwa na kitu fulani Ila hujapata.

Ni kweli mtoa màada bado ni under 25 so bado hajakua Ile waita matured akajua life gives you what you deserve and not what you like.
Binafsi mke wangu ni normal sio shape za akina Mobeto Ila nilipewa mke ambaye nilikuwa namuota kitabia.

Yaani sioni shida yoyote hata nikichepuka ni tamaa Ila sijakosa kitu kwangu ni Kama mchukua rushwa sio kuwa salary haimtoshi.by nature binadamu we've so much greeed of wanting more more and more.
 
Hakuna binadamu mbaya mpaka siku za mwisho bali kuna "PERSONALITY" + "ATTITUDE"

Ka ukijua kuna walioachwa kwa utu wao mbaya pamoja na muonekano wao mzuri

Narudia tena binadamu wote wana shepu nzuri na muonenakano mzuri ila utofauti unakuja kwenye utu.

NB. Utu sio tabia!
 
Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye...

Tena nawashauri vijana,weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani...

Ina maana gani kuwa na pesa plus an ugly woman ndani... Raise standards kwenye appearances za wanawake unaodate...
Kihalisia watu ambao wako Kwenye purest form ya kibinadamu ni Watoto wadogo ambao bado hawajapigwa na sumu ya sex Hormones ,na wazee ambao sumu ya sex Hormones iko Kwenye dying phase,

Ukitaka ushauri kuhusu maisha tafuta views za wazee ,views zao ziko clear hazina wingu zito la emotions,na ukitaka furahia maisha Tazama watoto wadogo wanavyoflow na maisha,Pure joy,

Kundi lililopo katikati ya wazee na watoto wadogo ,lina upumbavu mwingi sababu sumu ya hormones inaongoza maamuzi katika mambo mengi yaani linayakuza mapenzi kuliko uhalisia wake .
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom