Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,217
- 5,908
Vyote vitatu, i.e; Urembo, tabia na uwezo wa kumhudumia mumewe kitandani.Wadau uzuri wa mwanamke upimwa na nini? Urembo,tabia au kwenye 6×6 ,achilia factor zingine km kisomo,kazi n.k ceteris paribus
uzuri wa mwanamke ni t.a.ko kubwa, hips za haja na baby face.
Anifurahishaye ndo mwanamke mzuri...
Ni ngumu kushauri kwa
sababu kila mtu ana kigezo chake, kinachonifanya mimi nimpende mwanamke
sio lazima na wewe kikufanye umpende. Kwa kuku shauri, kama unatafuta
mke, jaribu kutafutiwa mke na wazazi kwa sababu wazazi kamwe
hawawezi kukuingiza chaka, wataangalia vigezo vyote vya msingi vya
mwanamke bora.
tabia ndio kila kitu jamani!
Mfano?
...kuna wimbo fulani unasema kuwa "uzuri wa mwanamke siyo urembo! ni tabiaa..."
uzuri wa mwanamke ni t.a.ko kubwa, hips za haja na baby face.
Beauty truly is in the eye of the beholder!
Mwanamke sura tabia tutavumiliana..........