uzuri wa mwanamke... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uzuri wa mwanamke...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIDHEHA, Sep 21, 2012.

 1. K

  KIDHEHA Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  habari tanzania....nimekua nikisoma sana posts nyingi sana za kuhusu wanawake...mara wadau wanasema hawa wa kabila hili wazur zaidi mara hawa malaya zaidi...mi nataka niwaaambie ukweli uliothibitishwa...mwanamke hachaguliwi kwa kabila,anachaguliwa kwa tabia...ilikua zamani sasa hivi unaweza mkuta mwanamke wa kichaga kicheche kuliko mpare,mhaya kicheche kuliko mrangi nk...so tafadhali msiwajudge wanawake kwa makabila yao,,,,mnajidanganya sanaaaaaaaaaaaaa................umalaya ni tabia ya mtu...tumwombe Mungu atupe wake wa kufanana nasi....
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Yap uzuri wa m/ke sio urembo bali ni tabia--Samangwana
   
 3. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wapo wa makabila mbali mbali ambao ni malaya sana,lakini umalaya wa makabila mengine ni wa pekee na sio wa kuupuzia kabisa.
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Well said Mkuu, kama wewe ni kicheche basi heri upate kicheche mwenzio mana ukimpata mwenye tabia nzuri utamuumiza bure mtoto wa watu, vivyo hivyo kwa wanaume waliotulia wawapate waliotulia kama wao
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Unamaanisha Samba Mapangala?
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mhhh...hilo la kabila zima kuwa vicheche nalo unalisemaje?
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hapana kwakweli mimi kuna makabila sitiii pua hata iweje! Unafanya mchezo KABILA ZIMA / KIJIJI KIZIMA KINATEKETEA KWA NGONO???? @ MAKETE 1999!!!!!!! Mimi bwana kuna maeneo sigusiiiiiiii! Tabia zaenda na GENETICS atiiii!
   
 8. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Good Idea.
   
 9. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,612
  Likes Received: 2,041
  Trophy Points: 280
  huyo mwanamke unampata katika mazingira gani maana kwa kizazi cha sasa kabila analitaja tu pale atakapoulizwa lakini ukimfuatilia hata huko kwao hapajui na hiyo lugha yao haielewi (sasa mtu wa namna hii unamweka kundi gani). Nadhani makabila hayana msingi sana kikubwa ni kuangalia background ya familia yao ikoje nadhani ndio itatoa muelekeo wa tabia ya mkeo mtarajiwa ikoje)
   
 10. p

  pretty n JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mke mwema anatoka kwa Mungu
   
 11. The Cabin

  The Cabin Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 25
  Mmh..!! kuna makabila mengine guyz acheni kabisa.., uthithubutu kuyaweka ndani yaani utaumia vibaya sana, yani hayo ni kweli chupi zipo magotini
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna tofauti kubwa sana kati ya tabia na uzuri,hivyo basi tunapojadili uzuri tujitahidi kuutenganisha na tabia.labda tuuulize hivi''ni upi ubora wa mwanamke maana hapa tutachambua kwa ujumla wake na kwa tofauti stahiki''ni maoni tu.
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ngoja mimi niwe wa kwanza kukupa like.
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kazi ipo!!!
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,710
  Trophy Points: 280
  hahahahaha khaaa
   
Loading...