We mkazi wa milimani Usidanganye watu hapa.
Nyie ndio mnaoshi kule mabatini milimani mnakunya kwenye milima na kujichambia mawe,
matokeo yake ikinyesha mvua Mizigo yenu yote inaporomoka Kule chini na kusababisha vipindupindu.
Nyie wajaluo wachafu sana
Sasa wewe unafikiri hao watu kwa nini wakimbilie dar kwenye foleni na si mwanza ambako kwa madai yako hakuna foleni na hali ya hewa ni nzuri.Ubapopima pesa inayopotea zungumzia pia inayoingia.Bora ya Dar pesa inapotea kwenye foleni lakini ndiyo unaonekana wenye unafuu kwenye utafutaji.Dar ndugu kulala njaa kupenda.Kabla hatujaendelea iiulize serikali nini kinawapa kigugumizi kuhama Dar.Hata mbunge wako kama si kuishi basi anakitega uchumi Dar.
Hivi unajuani kiasi gani cha fedha kinapotea kutokana na traffic jam.
Unajua ni muda kiasi gani ambao ulipaswa kutumika katika uzalishaji lakini unatumika kwenye foleni
Kinacho ibeba Dar es salaam ni pamoja na wingi wa watu idadi ya watu wa mwanza inaingia
mara mbili na ushee kwa ile ya Dar.
Lakini kwenda na ukweli ni wangapi wenye vipatovya kueleweka dar.
Adding on that mwanza haina scandals za madawa ya kulevya kama ilivyo dar
Uchumi wa majiji yetu unachangiwa sana na magendo gendo deal deal
ujanja ujanja tu ambapo nazani kwa majiji dar ni kinara
Wakuu:
Hivi uzuri wa jiji la Mwanza uko hasa kwenye vitu gani hebu tuhabarishane hapa kwa wanaolifahamu zaidi jiji hilo.
Nawasilisha
Hivi unajuani kiasi gani cha fedha kinapotea kutokana na traffic jam.
Unajua ni muda kiasi gani ambao ulipaswa kutumika katika uzalishaji lakini unatumika kwenye foleni
Kinacho ibeba Dar es salaam ni pamoja na wingi wa watu idadi ya watu wa mwanza inaingia
mara mbili na ushee kwa ile ya Dar.
Lakini kwenda na ukweli ni wangapi wenye vipatovya kueleweka dar.
Adding on that mwanza haina scandals za madawa ya kulevya kama ilivyo dar
Uchumi wa majiji yetu unachangiwa sana na magendo gendo deal deal
ujanja ujanja tu ambapo nazani kwa majiji dar ni kinara
Mwenye kujua night club, lounge, na sehemu za kuruka kwanja(mwanza ) usiku naomba anijuze...
Upo wapi?!, kuna Rock bottom, club fusion, Villa Park... nenda hizo kwanza...