Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,655
Ukilinganisha na dar.es.salaam Mwanza ni cape town ya Tanzania.
Yeh .. hasa uki'approach' mji ukitokea ziwani!
Ukilinganisha na dar.es.salaam Mwanza ni cape town ya Tanzania.
Zeddicus zu'l zorander
Rock bottom kwenye jengo la Gold Crest, Club Fusion kwenye jengo la Mwanza Hotel...
Mwanza chokoraa wengi sana,kushinda Dar.
mchunga kondoo wa bwana upo? Kumbe we mtu wa Mwanzaaa!!! Ndio maana unapenda ligi. Wasalimie mwanza lakini. sisi kwetu umakondeni ndio kwanza tunawaza tutaujengaje mji wetu.
Mimi Mzaramo wa Chamazimchunga kondoo wa bwana upo? Kumbe we mtu wa Mwanzaaa!!! Ndio maana unapenda ligi. Wasalimie mwanza lakini. sisi kwetu umakondeni ndio kwanza tunawaza tutaujengaje mji wetu.
jengo la furahisha tayari@ishmael
Miji ipi yenye ubize wa Pesa?!
DAR kaka. Haiitaji utafiti kulijua hilo....Dar, Arusha na Mwanza