Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,730
- 2,391
Navyojua mimi mwanza wamejaa Wasukuma, Wakerewe, Wahaya, Wajaluo na makabila mengine madogomadogo. Hivi Lisukuma au Likurya utaanzaje kuliomba tigo we mzaramo ? Hayo mambo yamezoeleka huku kwa wachora hina, huko itakuwia vigumu watu wenyewe panga mkononi unaweza kujikuta unaliwa wewe!
Last edited by a moderator: