weka picha
Mwanza maisha ni rahisi sana tofauti na mji wowote ule Tz
Nyie wadau wa mwanza ni kipi kilichopo mwanza Dar hakipo?.Na hizo picha mnazoonyesha mbona ni jengo hilohilo mnarudiarudia.Semeni kipi cha kulipamba hilo li mwanza lenye mabugando ya kuhesahika?
Hilo ndo jiji la Mwanza noma sanaaa
Amani na usalama hamna kitu,na kama hakuna foleni jua mzunguko wa pesa pia ni mdogo maana yake hakuna mishemishe.Miji yote yenye ubize wa pesa foleni lazima.Hali ya hewa inashinda arusha au Bukoba?
Hivi unajuani kiasi gani cha fedha kinapotea kutokana na traffic jam.Amani na usalama hamna kitu,na kama hakuna foleni jua mzunguko wa pesa pia ni mdogo maana yake hakuna mishemishe.Miji yote yenye ubize wa pesa foleni lazima.Hali ya hewa inashinda arusha au Bukoba?
Hata mbeya?
Bado inasubiri sana tu kwa Rock city
wewe umejuaje kama ni zuri? inamaana ulishawahi kufika, kama umeskia inamaana umeskia na sifa zake.
-ni mji msafi
-utulivu
-population ndogo hivyo hauna foleni na misongamano isiyo ya msingi.
-usalama
-hali ya hewa
-supu ya samaki buk3 tu
nk
Amani na usalama hamna kitu,na kama hakuna foleni jua mzunguko wa pesa pia ni mdogo maana yake hakuna mishemishe.Miji yote yenye ubize wa pesa foleni lazima.Hali ya hewa inashinda arusha au Bukoba?