Thanks for your suggestions. That is the famous Mwanza Mall.weka picha na maelezo chini yake. sio kuunganisha picha.
Uzuri wa mwanza wala siyo majengo, mwanza hakuna majengo ya maana. Mimi naamini uzuri wa mji si majengo, si wingi wa magari wala si wingi wa watu.
Nyie wadau wa mwanza ni kipi kilichopo mwanza Dar hakipo?.Na hizo picha mnazoonyesha mbona ni jengo hilohilo mnarudiarudia.Semeni kipi cha kulipamba hilo li mwanza lenye mabugando ya kuhesahika?
Mi nimetembea karibia mikoa yote TZ, ila Dar ndo kila kitu kwa TZ. ukiona joto kajenge pembezoni mwa bahari,foleni cheza na ramani ya jiji kichwani,ila Mwanza ndio inakuja kwa mbaaaaali sana
mkuu hakuna majengo ya maana ukilinganisha na wap hapa tz zaid ya dar :lol::lol:?
Miji ipi yenye ubize wa Pesa?!
Asante sana mkuu, nadhani aliyedai hivyo amekusoma...Kukariri kubaya sana. Siyo lazima mji ukiwa busy uwe na Foleni za Karaha kama Dar es Salaam na Lagos. Ni ubovu tu wa mpangilio wa barabara. Nchi ya China kila mji una watu mamillion kwa mamilion, lakini hakuna adha hii!
Mleta mada sijakuelewa ulitaka kutuambia nini, I hope humaanishi Mwanza ni zaidi ya Dar.
Asante sana mkuu, nadhani aliyedai hivyo amekusoma...
Nimekaa sana Mwanza, hakuna majengo mazuri ukilinganisha na Dar, hata Arusha, only recent days ndiyo naona majengo yanaibuka Mwanza, majengo ni uwekezaji, mtu akijenga anategemea pesa yake irudi ndani ya muda muafaka ili apate faida, mzunguko wa Mwanza ni mdogo, hata mzawa wa Mwanza aliyekulia na kuishi mwanza itahitaji roho ngumu sana kuwekeza a couple of billlions kwenye jengo. Kiufupi ni unfair kulinganisha majengo ya Mza na Dar. Pamoja na hayo yoote bado napapenda Mwanza kuliko Dar, kinachotulazimu kakaa Dar ni kazi tu.